Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,485
- 25,273
Anajua lakini kwamba haungwi mkono na anao waongoza?
Taifa linalia.Hili suala halijaisha ujue, bado kuna tume ya kutafuta waliotoa fedha kugharamia maandamano, kupanga na kutekeleza maandamano.
Baada ya hapo kamatakamata, kuteka na kuua vitaendelea kwa wale wote watakaotajwa na tume.
Kesi za wahaini zitaanza na sijui taifa litaponaje.
Huyu Lissu hatoki gerezani maana atakuwa ni mmoja wa wahusika watakaotajwa na tume ya Shaaban Lila kuhusika na "uhaini" wa Oct 29 na baada ya uchaguzi.
Vipi walio piga watu risasi na vipi walio toa amri watu wauliwe?Hili suala halijaisha ujue, bado kuna tume ya kutafuta waliotoa fedha kugharamia maandamano, kupanga na kutekeleza maandamano.
Baada ya hapo kamatakamata, kuteka na kuua vitaendelea kwa wale wote watakaotajwa na tume.
Kesi za wahaini zitaanza na sijui taifa litaponaje.
Huyu Lissu hatoki gerezani maana atakuwa ni mmoja wa wahusika watakaotajwa na tume ya Shaaban Lila kuhusika na "uhaini" wa Oct 29 na baada ya uchaguzi.
ni mtu mjinga tu anayeweza kusema chadema imecchochea.serikali yenyewe imechochea kwa mauaji ya watu,ufisadi,uongozi mbovu,rushwa NK.Damu hulipwa kwa damu wauaji lazima mlipieViongozi wa Chadema lazima wabebe msalqba wa dhambi ya kuwachochea vijana kuingia barabarani na kufanya fujo na kuchoma vituo vya polisi na hivyo kuwalazimisha Polisi kutumia risasi.
Ukiacha kesi ya Uhani inayo Mkabili Mwenyekiti wa Chadema Lissu pia viongozi wengine wote wa Chadema wanapaswa washitakiwe.
Hamtatamba milele.. Mark my words... 🙇🏿♂🙇🏿♂🙇🏿♂Viongozi wa Chadema lazima wabebe msalqba wa dhambi ya kuwachochea vijana kuingia barabarani na kufanya fujo na kuchoma vituo vya polisi na hivyo kuwalazimisha Polisi kutumia risasi.
Ukiacha kesi ya Uhani inayo Mkabili Mwenyekiti wa Chadema Lissu pia viongozi wengine wote wa Chadema wanapaswa washitakiwe.
Inashangza Taasisi mbalimbali na mabalozi wametoa salama zao za kumbukumbu na kuungana na watanzania lakini inashangaza serikali imekaa kimya hata pole ya uongo na ukweli hakuna? wapo wana sherekea uzinduzi wa majengo ya mji wa mtumba Dodoma. Yaani ni kama yaliyotokea 29 oct hayawahusu.
Ulitaka majizi yasiuliwe? Acha kutetea uhayawaniHiyo ya heche utafungua wewe?
Hakuna Cha pesa zilizoingizwa Toka nje Wala aliyehamasisha maàndamano. Aliyeamuru watu wauliwe ni Samia mwenyewe mnajitoa akili tu . Mbona mliowazika kwenye makaburi ya halaikii kule kondo?