Anton mwita
Member
- Dec 24, 2019
- 30
- 16
Taifa la Tanzania kwa miaka ya hivi karibu naweza kusema limekaa mguu sawa.Limekaa mguu sawa kutokana na lilivyo sasa ukilinganisha na miaka ya nyuma.
Taifa lilinuka rushwa,wizi wa Mali za umma,uzembe kwa watumishi wa umma,tena uliokidhiri.Haikuwa ajabu mfanyakazi kuingia kazini saa 2:30 asubuhi saa 4:00 asubuhi chai mpaka saa 7:00 mchana,baada ya hapo safari ya kwenda kutanua huanza.
Taifa limekaa mguu sawa hata wale tuliowazoea kwa maneno ya kizalendo Leo wamegeuka kuwa vibaraka wa mabeberu.
Kipindi hicho wanalalamika nyuma ya pazia walikuwa wanaiba na kufaidi Mali za umma.Kipindi ambacho walisema serikali imeoza ,leo serikali imesimama imara wanasema inavunja haki za binadamu,hakika nchi sasa imesimama mguu sawa.
Wezi halisi sasa tumewatambua ,Mh rais tunaomba uendeleze msimamo imara na dhabiti bila kuyumba..
Daima tuko nyuma yako,atakayekuchafua tutakusafisha kwa njia yoyote.2020 twende na Magufuli