Taifa limekaa mguu sawa

Taifa limekaa mguu sawa

Tupe udhibitisho wa hiyo hoja yako.Hizo ni bla bla za wale wapiga kelele.
Kazi kuimba mapambio tu, CAG akisema fedha hazionekani mnamfukuza kazi halafu unatafuta uthibitisho wa nini? Wakati wa KIKWETE uthibitisho ulitoka wapi kama siyo taasisi zilizokuwa huru? Mnazuia watu kuandika uozo wenu halafu mnajifanya wasafi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zaidi ya 98% ya watu weusi hawana akili.

Akili Tumbo Tumbo Tu.
 
Back
Top Bottom