Taifa limechanganyikiwa?

Kisima kile kile
Maji Yale Yale
Ila kata ndio mpya

Magufuli hakufaa alivyokuwa rangi ndio atafaa huyu chokaa.
Mkikataa nzi wa kijani basi angalau nchi itapata Nuru.

Anzeni kumlaumu Nzilankende na sera zake mbaya mpaka kutuchagulia makamu ohe ahe.
Mshana yupo sahihi
 
Ila kweli hivi ilikuwaje akachagua makamu wa vile ambaye kabisa kigogo alishawahi andika ni msagaji?? Na mtumia spirit kwa sana??? Yaani dah ni noma. Ni afadhali awamu ya pili angechagua hata Lukuvi au Majaliwa tungepona kabisa. Ila kwa sasa inasikitisha sana
 
Kumbe hata hujaelewa mada inazungumzia kitu gani.. Hapa kazi ipo! Huwa nawajadili walio hai sio waliolala kuzimu na kila kipindi kina mitazamo yake. Bunge kibogoyo na uchafuzi wa uchaguzi mkuu 2020 ni mambo ambayo yatabaki kuwa historia mbaya kwenye hili taifa na mtendaji mkuu anajulikana
 
Wote ni walewale tuu.. Usiniingize kwenye kujadili watu najadili taifa kuchanganyikiwa .. Na wa kubeba hii lawama wanajulikana kuanzia hao wafu mpaka hawa walio hai
 
Kila kitu ulikuwa mkakati, kwa sababu wewe huijui serikali na mifumo yake basi kamwe hutaweza kujua hasa kwa nini serikali ilifanya hivyo na wala hakuwa Dkt Magufuli. Na unajua kabisa kuna sheria ambayo rais akijaribu kuua upinzani anaweza kuondolewa madarakani. Dkt Magufuli hakuua upinzani ila kilichotokea ni hawa hawa walamba asali akina Mbowe na akina Zitto kuwabeza serikali iliyowapa nafasi ya kufanya nao kazi. Hivi wewe unajua kuwa vyombo vya ulinzi na usalama they are there kwa kila mtu??? Ila ukiwazingua wanakuzingua. Upinzani ulijiua wenyewe kwa kukosa hoja
 

Nilikuwa nikiwaambia , Damu aliyoimwaga Nyerere ni nyingi. Wa Zanzibari kwa maelfu waliuliwa wakati wa Uvamizi wa 1964, na siku hizi kila uchafuzi unaoitwa uchaguzi huuliwa watu , kunajisiwa, kutiwa vilema . Dua ya mwenye kudhulumiwa hairudi. Huu ni wakati wa Tanganyika kuiwachia Zanzibar na kuomba radhi kwa waliyoyafanya ili hii laana isiendelee kuitafuna. Vyenginevyo tutaona makubwa zaidi ya haya. Amkeni wakati ndio huu
 
Una tatizo kubwa nimegundua huwezi kujadili hoja bali uko kujadili watu. Ukiishi kujadili watu utashindwa kwenye hoja nyingi sana
 
Una tatizo kubwa nimegundua huwezi kujadili hoja bali uko kujadili watu. Ukiishi kujadili watu utashindwa kwenye hoja nyingi sana
💉💉💉💉🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Ukitoa roho ya mtu mwema hubaki salama lazima utangetange,ogopa kuhusika na tukio la kumwaga damu uchizi flani lazima ukuingie swala la muda Tu maana washaanza kuropoka
 
Kuna shida kubwa sana na kuna mijamaa inashupaza shingo tu kwamba hakuna shida , yaani tuna matatizo mengi sana katika taifa lakini kuna majamaa kama kina sufiani wamejitoa akili kama vile hawako Tanzania , kuwa Fisiemu ni matatizo SANA. SHAME
 
Hata mimi kajamba nani,,, usiku wa kuamkia leo nimetafakari yanayoendelea nchini hadi nikaona aibu kwa watoto wetu hawa sijui tutawaeleza nini, maana hatushtuki kabisa tunaibiwa na wanaotuibia wanatutukana na kujigamba hatuna cha kuwafanya nasi tumetulia tu, tupo km kondoo,,, ni aibu na huruma sana kwa hii nchi
 
CC Pascal Mayalla mainly kwenye kila mtoa ufafanuzi anapitoa ufafanuzi unaopingana na uliotolewa na mwingine juu ya jambo la SGR. Mara mitumba, mara mapya, mara yalikuwa ya SGR, mara hayakuwaya SGR mara ya MGR mara siyo MGR, mara bei ni ileee, mara bei siyo ilee
 
Siku hizi wachawi wanaloga ubongo wetu kwanza,halafu mengine yanakuja yenyewe.Asieamini aje Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…