Taifa liadhimishe Komba day

Bora hata Mubarak Mwinshehe, au Marijani Rajabu
 

Mimi mwenyewe nimechoka kabisa! toka asubuhi mpk sasa ni Komba wamemaliza kuaga sasa ni nyimbo zake zinarindima TBC1... haya wee na yule mbunge wa Zbar yeye mbona haikua hivi au ubunge unatofautiana viwango?
 
Ila kiukweli tutazimis tungo zake.
Fikiria leo tupate msiba mkubwa wa kitaifa(Mungu na apishilie mbali),nani atahanikiza kwa nyimbo zenye hisia kali za majonzi kama ilivyokuwa enzi za Capteiiiin!!.

Msiba wa kitaifa!!! Kama akifa nani kwa mfano? Mana hata mwenye kaya akifa bado hautakuwa msiba wa kitaifa bali wa mafisadi
 


Ni kweli Capt KOMBA kafanya mengi hasa kwenye tasnia ya sanaa ya muziki,lakini si dhani kama kumuenzi ni lazima tutenge siku ya mapumziko,nadhani kama tutaipa kipaumbele tasnia hii itakuwa ni namna bora ya kumuenzi kuliko kutenga siku ya kukaa tu bila kazi,na hata tukifanya hivyo bila kuzienzi kazi zake ni bure.
 
Jamani tuwekezeni katika kumcha Molah Hakika ckutegemea kama na huyu Mpendwa du! Mungu kavuna kama alitenda mama peponi kama hakutenda mema Ndiyo hivo tena sisi hatuwezi kumwamuru Molah
 
Labda ccm ambayo inazaliwa weekend siku hizi kwa ajili ya kukusanya watu.
 
kweli,kafanya mengi KWENYE TASNIA YA UZINZI NA UZINIFU, Watoto Nje Ya Ndoa Tena Siyo Mmoja, Huyu Hakusitahili Hata Kusomewa Ibada Kanisani,kanisa Katoriki Waache Unafiki,mbona Akifa Mtu Asiyemaarufu Ambae Amezaa Nje Ya Ndoa Hazikwi Na Kanisa Kwanini Kwa Komba?
 
Kwa lipi jema alifanya kumtukana warioba
 

Huu ni msiba mzito kwa mke wa marehemu, watoto wa mrehemu, mama wa marehemu, baba wa marehemu na jamaa zake wa karibu, kwa sisi wengine ukijumlisha na kauli yake (marehemu) eti kuingia mstuni kupambana na matakwa ya wananchi tunajionea heri kwetu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…