katrina kwambiana
Member
- Feb 6, 2015
- 33
- 8
Ila kiukweli tutazimis tungo zake.
Fikiria leo tupate msiba mkubwa wa kitaifa(Mungu na apishilie mbali),nani atahanikiza kwa nyimbo zenye hisia kali za majonzi kama ilivyokuwa enzi za Capteiiiin!!.
Hizi ni akili za watu wavivu,, badala ya kuja na mada ya kukwamua tanzania kwenye umaskini unazungumzia kuendelea kulala lala tu. Mtu akishakufa amekufa tu.
Pia aliwakosea sana Watanzania na magamba wengine kwa kutukosesha kuwa na Katiba nzuri, sioni kama yeye na hao wengine wanahadhi ya heshima kwa walichokifanya.
Ukichanganya na uhuni wanaondelea kuwafanyia Watanzania wajue watu wana hasira nao sana.
Mmh kwanza nahitaji kujua uyu komba ameifanyia nn nchi hii?maana hapa TBC wanarusha kipndi cha kuagwa uyu komba hii ni television ya taifa na cyo ya ccm how wanampa uyu komba air time iv...na hapo kuna pesa zetu za walipa Kodi zinatumika kuendesha hii shughuli..mbona wanakufa mawaziri ila hawafanyiwi ivo..au kuna yoyote kazi yoyote kafanya kwa taifa hili cyo kwa ccm

Salam wakuu,
Baada ya Msiba mzito wa Capt J Komba, niliamua kusikiliza kazi mbalimbali alizozifanya. Nimegundua jamaa alikuwa na uwezo mkubwa sana, Yaani alikuwa na uwezo wa kutunga wimbo na kurekodi ndani ya nusu saa. Pia tofauti na nyimbo za akina Diamond, Nyimbo za capt Komba hazichuji kabisa. Halafu zina ushawishi sana.
Kwa kweli kuna kila sababu ya kumuenzi. Tuteue siku 1 ya mapumziko tuwe tunasikiliza track zake. Japo mimi sio CCM, ila kuna wimbo unaitwa Arambee ulikuwa unanishawishi sana, hasa kwenye yale maneno "Wapinzani tuwalete tuwachanechane tuwatupee" dah... huyu jamaa alikuwa hatare sana.
Komba day ni muhimu aisee.
mkuuu huyu mtu bora amempumzika mmana ndio waliotusababishia katiba mbovu kuwepo yaani ni bora amepumzishwa huko alilko
Salam wakuu,
Baada ya Msiba mzito wa Capt J Komba, niliamua kusikiliza kazi mbalimbali alizozifanya. Nimegundua jamaa alikuwa na uwezo mkubwa sana, Yaani alikuwa na uwezo wa kutunga wimbo na kurekodi ndani ya nusu saa. Pia tofauti na nyimbo za akina Diamond, Nyimbo za capt Komba hazichuji kabisa. Halafu zina ushawishi sana.
Kwa kweli kuna kila sababu ya kumuenzi. Tuteue siku 1 ya mapumziko tuwe tunasikiliza track zake. Japo mimi sio CCM, ila kuna wimbo unaitwa Arambee ulikuwa unanishawishi sana, hasa kwenye yale maneno "Wapinzani tuwalete tuwachanechane tuwatupee" dah... huyu jamaa alikuwa hatare sana.
Komba day ni muhimu aisee.
Eti KOMBA DAY kweli wengine vichwa vyetu vinahitaji msaidizi vyenyewe haviwezi kufanya kazi.
Tumeshindwa kuwa na sokoine day ndo tuwe na komba day,
ikitokea kweli ikawepo siku hiyo waliochini yangu kikazi watapiga mzigo kama kawaida.
Ivi wewe ulipozaliwa ulitanguliza nn mpaka ukaomba kuwe na Komba day,sizani kama uko sawa kiakili,,kuna siku utatuambia tuwe na siku ya mama yako,kafie mbele ----- wee.
kwani katiba ishapitishwa?