TAIFA LEO KENYA: Magufuli Bado Mteja

TAIFA LEO KENYA: Magufuli Bado Mteja

Naona kumbe kuna viongozi walioridhia magazeti haya ya kenya kuendelea kuandika habari hizi, vinginevyo yangefungiwa. Tuseme itokee kwa Rais Kenyatta kama ilivyotokea hapa kwetu, halafu magazeti ya hapa yachachamae kumuandika Rais Kenyatta, na JPM yupo amekaa kimya! Haiwezekani. Kuna kitu cha ziada hapa, JPM yuko sahihi kwenye maneno yake ya siku zote
Ni kweli hata kipindi Kenyatta nae anauliziwa yupo wapi huko Kenya, HAKUNA gazeti lolote TZ lilikuwa linaandika hizo habari
Screenshot_20210317-112150_1.jpg
 
Magu naye jamani si ajitokeze tu amalize mzizi wa fitna
 
Naona wakenya wanahangaika na umbeya wa magufuli wanashindwa ku solve tatizo la njaa
 
nimefanya maongezi na Diwani TISS, tumekubaliana rais ajaye tumfunge GPS, ili iwe rahisi kujuawakati wowote yupo wapi
 
Back
Top Bottom