Mungu akulinde Jamhuri yangu na watu wangu wa Tanzania.
Mungu Tukumbuke watoto wako na Uzao wa Taifa lako siku moja tusije kuwa manamba ktk Taifa letu. Baba yetu na Rais wetu wa kwanza aliona leo na akalia sana na kumbukizi zinatuambia akikaribia kuipumzisha roho yake akasema Anatuombe wa Tanzania.
Mungu upo mbinguni Mungu wa ma babu zetu walio mwaga damu kwa ajili ya uhuru wetu na mipaka yetu Mungu wangeta kujimilikisha Taifa Hili na mipaka yake wangemiliki na hakuna angewauliza ila walikuwa wazalendo hata umauti😭😭😭🙏
Mungu macho yako katika Jamuhuri 🇹🇿 ya watu wa Tanzania Mungu macho yako kwa wana Tanganyika Baba nalia 😭😭😭 macho yako yawakumbuke watanganyika maana baba yao aliwaubiria umoja nakuacha laana wasipo taka umoja japo alisahau umoja huwo una lake jambo ikiwa mabadiliko makubwa hayatofanyika.
Mungu inua majemedari wa vita ktk majeshi yetu na vyombo vyetu vya usalama. Mungu inua watu majasiri watu wenye akili kubwa kulinda Taifa hili na mabadiliko makubwa yalio mbele ya dunia yetu.
Mungu wangu ilinde jamuhuri ya watu wa Tanzania Mungu usimuache mtu mwenye hila kuliongoza Taifa hili Mungu usiache watu wasio na jambo jipya kumfanyia Mam Tanzania kuliongoza Taifa hili.
Mungu tupe akili Watanzania kuunda Sheria na katiba ambayo Dunia itakuja kujifunza kwetu. Mungu tupe akili tengeneza Sheria na katiba ambayo hata nchi tukimpa shetani hatoweza kutuongoza ktk ushetani wake ila atauongoza kwa mujibu wa Sheria za jamuhuri yetu 😭🇹🇿
Mungu upo mbinguni na umeona kile kinaendelea mioyoni mwao. Usiruhusu utajiri wetu na mali zetu kuwa Chakula cha wachache muone yule mtoto wa masikini kesho pia atakuwa Rais au waziri Mkuu Mungu mpe kukuta asali ya mama Tanzania na sio kibuyu tupu😭🇹🇿
Kesho yetu ipo mikononi mwako Mungu. Kesho yetu ina kuangalia wewe Mungu.
🙏🇹🇿🙏🇹🇿🙏🇹🇿🙏🙏