Taifa la pwagu na pwaguzi?

Taifa la pwagu na pwaguzi?

Tumekusikia mkuu; ila nina swali kwako: Nini liwe suluhisho la tatizo hili? Kumbuka kulalamika tu bila kupendekeza suluhisho haisaidii. Tanzania tumekuwa taifa la watu wanaojua matatizo yao na kulalamika mno. Ni vema sasa tukajikita kwenye kutafuta na kutekeleza suluhu za matatizo yetu. I don't care what the solution you think is, but propose solutions and take leadership in implementing those solutions. I think that's better than adding another complaint to the long list of complaints that we already have.
 
kumbe baadhi ya taasisi zinajitungia taratibu zake ndicho anachomaanisha yule mama kwa hiyo kuna vitu vingi vinafanywa bila utaratibu na vinatuumiza kwa kuwa kila mtu ana sauti na maamuz yake binafsi ktk taifa hili lililokufa.

Maamuzi mengi ya kiholela hayafuati sheria
ni kwa kuwa watu hawagomi ndo maana hatujui kuwa kuna watu hawana mamlaka ya kutoa maamuzi lakini wanatoa
 
Tumekusikia mkuu; ila nina swali kwako: Nini liwe suluhisho la tatizo hili? Kumbuka kulalamika tu bila kupendekeza suluhisho haisaidii. Tanzania tumekuwa taifa la watu wanaojua matatizo yao na kulalamika mno. Ni vema sasa tukajikita kwenye kutafuta na kutekeleza suluhu za matatizo yetu. I don't care what the solution you think is, but propose solutions and take leadership in implementing those solutions. I think that's better than adding another complaint to the long list of complaints that we already have.

Labda tuwe tunahoji sheria zinasemaje badala ya kupokea tu maagizo
 
Back
Top Bottom