Unajua tatizo ni nini? Yeye alitamani aone kibao kimeandikwa LIVINGSTONE ROAD. Inaweza ikawa hapendi kuona jina la kibantu KITILA, na la mtu ambaye anamfahamu, likipewa barabara. Mtu yuko kwao wa kwao wameamua kumtuza, tatizo liko wapi?
After all, huyu yeye aliyeweka bandiko hili anamfahamu Mh. Mkumbo wakati Mkumbo hamfahamu huyu aliyeweka bandiko. Sasa kati ya watu hawa wawili, nani maarufu?