smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,586
- 12,254
comment ya uzito wa unyoya. nyepesi sana.Kama ambavyo wewe unavyokuwaga unahonga hela kwa pisi Kali.
Kuna namna tu huwa unaget return ya zile hela, japo zile pisi huwa zinafurahia [emoji28]

There is no free lunch.Kwa mfano hapo ukraine wameshatumia zaidi ya dola bilion 100 ambayo ni zaidi ya trilion mia mbili kwa pesa ya kibongo.
Nijuavyo pesa haijawahi kutosha kwa mtu yeyote, ni kwa nini hizo pesa wasiwape raia wao?
Na wajaze mishahara zaidi kwa wafanyakazi wake? Wanapata faida gani hawa jamaa.
Huko Afghanstan wameshatumia matrilion ya pesa kwa taifa lisilo lao, wanaongoza kwa contribution kwa UN na misaada kote ulimwenguni, ni kwa nini wasigawane tu hizo pesa ndani ya taifa lao wale matunda yao peke yao?
Wajuzi wa haya mambo naomba msaada hapa.
😅😅😅😅 Comments nzito nzito zitafitia mkuu, usijali. Endelea kufatilia uzicomment ya uzito wa unyoya. nyepesi sana.
Wanapata thawabu kubwa kwa Mungu ndio maana wanazidi kuimarika kiuchumi ,kiakili na ki teknolojia. Wao kwa sababu misaada Yao ni kumjali binaadamu tofauti na wale wa middle east wanajenga tu majumba ya kuabudu bila kujali mtu huyo atakula nini, atasomaje ili aweze kujikwamua kiuchumiKwa mfano hapo ukraine wameshatumia zaidi ya dola bilion 100 ambayo ni zaidi ya trilion mia mbili kwa pesa ya kibongo.
Nijuavyo pesa haijawahi kutosha kwa mtu yeyote, ni kwa nini hizo pesa wasiwape raia wao?
Na wajaze mishahara zaidi kwa wafanyakazi wake? Wanapata faida gani hawa jamaa.
Huko Afghanstan wameshatumia matrilion ya pesa kwa taifa lisilo lao, wanaongoza kwa contribution kwa UN na misaada kote ulimwenguni, ni kwa nini wasigawane tu hizo pesa ndani ya taifa lao wale matunda yao peke yao?
Wajuzi wa haya mambo naomba msaada hapa.
Jamaa wajanja sanaBiblia ilishasema heri kutoa kuliko kupokea lakini pia inawaongezea kauli mamlaka na maamuzi dunia nzima vitu ambavyo in return vinamletea super profit kwenye dili kubwa duniani hasa kwenye masoko ya hisa ambapo kila mwekezaji angependa awekeze sehemu yenye usalama wa pesa zake ambapo ndio marekani sasa.
Uko sahihi. Marekani ni wajanja sana ila vita wanavipenda mno kwa sababu vinawatajirisha. Mimi kwa ufahamu wangu hakuna Rais wa Marekani alieondoka bila vita.Acheki jinsi marekani alivyofaidika na vita vya Iraqi na hata Libya.
Mbali na mauzo ya silaha na kuchota mafuta anavyopenda, pia analazimisha sera zake zikubalike, mfano hizo za ushoga.
Umenifanya nikumbuke mbali kidogo.Kwa mfano hapo ukraine wameshatumia zaidi ya dola bilion 100 ambayo ni zaidi ya trilion mia mbili kwa pesa ya kibongo.
Nijuavyo pesa haijawahi kutosha kwa mtu yeyote, ni kwa nini hizo pesa wasiwape raia wao?
Na wajaze mishahara zaidi kwa wafanyakazi wake? Wanapata faida gani hawa jamaa.
Huko Afghanstan wameshatumia matrilion ya pesa kwa taifa lisilo lao, wanaongoza kwa contribution kwa UN na misaada kote ulimwenguni, ni kwa nini wasigawane tu hizo pesa ndani ya taifa lao wale matunda yao peke yao?
Wajuzi wa haya mambo naomba msaada hapa.
Asante sana umeleeza kwa kifupi na straight to the Point.Kuna kitu katika masula ya kimataifa kinaitwa USHAWISHI duniani
Mataifa makubwa yote duniani yana mashirika ya kutoa misaada duniani. US(USAID), UK(UKAID), China(ChinaAid), Germany(GIZ), Japan(JICA) etc
Lengo la haya mashirika ni kuongeza ushawishi wa mataifa yao au kukubaliwa kwa mataifa yao na mataifa mengine ijapokuwa yamejificha kwenye kivuli cha misaada
Kupitia USAID kumemsaidia Marekani kuwa na ushawishi duniani na hivyo kuongeza nchi washirika.
Taifa linapokuwa na ushawishi kwa mataifa mengine linaweza kupata benefits kama za kibiashara, uwekezaji, kisiasa, kijeshi(kuweka kambi za jeshi), kuuza silaha, n.k
NB: NI NGUMU SANA KUMVIMBIA MTU ANAYEKUPA MSAADA TENA BURE
kwanza iabla ya yote jua misaada inayotoa USA ni asilimia chini ya <1 % tu ya bajeti nzima ya taifa kwa mwakaKwanza ujue Marekani hatoagi msaada wa bure.
Pili taifa la Marekani linafaidika mno na vita ulimwenguni as long as havipiganwi ndani ya Marekani.
Kuna viwanda vikubwa vya silaha Marekani ambavyo vinazalisha silaha nyingi ambazo lazima zitumike .
Hivyo lazima vianzishwe vita popote pale na Marekani atajifanya kuingilia kati na kutoa msaada.
Lakini kimsingi ni kuvisaidia viwanda vyake vya silaha na anajua hela zitarudi.
Ndo nani hao?Vita vyote katika dunia hii inasababishwa na Rothschild Family kwa lengo la kuvuna faida kwasababu familia hii ndiyo ina control benk system ulimwenguni kote, Fmilia hii inadhamini vita pande zote mbili zinazo pigana, mfano unakuta kule Urusi anadhamini na Ukreni pia anadhamini.
Tangu battle of waterloo ya 1815 kati ya Ufaransa na Uingereza. Family hii husababisha migogoro ambayo mataifa yataporomoka kiuchumi mwishoe watakopa kwenye benk zao na wao kuvuna faida.
You just remember There is no free lunch.Kwa mfano hapo ukraine wameshatumia zaidi ya dola bilion 100 ambayo ni zaidi ya trilion mia mbili kwa pesa ya kibongo.
Nijuavyo pesa haijawahi kutosha kwa mtu yeyote, ni kwa nini hizo pesa wasiwape raia wao?
Na wajaze mishahara zaidi kwa wafanyakazi wake? Wanapata faida gani hawa jamaa.
Huko Afghanstan wameshatumia matrilion ya pesa kwa taifa lisilo lao, wanaongoza kwa contribution kwa UN na misaada kote ulimwenguni, ni kwa nini wasigawane tu hizo pesa ndani ya taifa lao wale matunda yao peke yao?
Wajuzi wa haya mambo naomba msaada hapa.
Rothschild ndiye ana control benk kuu za karibia mataifa yote katika ulimwengu huu kupitia mikopo ambayo mataifa yanashindwa kurudisha.Ndo nani hao?
Kila mtu anayetoa kwa moyo wa kupenda hubarikiwa.Kwa mfano hapo ukraine wameshatumia zaidi ya dola bilion 100 ambayo ni zaidi ya trilion mia mbili kwa pesa ya kibongo.
Nijuavyo pesa haijawahi kutosha kwa mtu yeyote, ni kwa nini hizo pesa wasiwape raia wao?
Na wajaze mishahara zaidi kwa wafanyakazi wake? Wanapata faida gani hawa jamaa.
Huko Afghanstan wameshatumia matrilion ya pesa kwa taifa lisilo lao, wanaongoza kwa contribution kwa UN na misaada kote ulimwenguni, ni kwa nini wasigawane tu hizo pesa ndani ya taifa lao wale matunda yao peke yao?
Wajuzi wa haya mambo naomba msaada hapa.
Wewe ni muongo , nchi maskini za Africa na Asia au south America hizi zenye political instability zipate wapi pesa za kununua vifaa vya kivita vya bei mbaya kama vya mmarekani ? , Wewe jiulize tu ,hebu tafuta kifaa cha kijeshi kilichotengenezwa Marekani kwenye jeshi la hapa Tanzania , wauza silaha wakubwa duniani ni Russia na chinaKwanza ujue Marekani hatoagi msaada wa bure.