Taifa la Marekani linafaidika vipi na misaada inayotoa duniani kote?

Taifa la Marekani linafaidika vipi na misaada inayotoa duniani kote?

Breaking bad

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,464
Reaction score
3,497
Kwa mfano hapo ukraine wameshatumia zaidi ya dola bilion 100 ambayo ni zaidi ya trilion mia mbili kwa pesa ya kibongo.

Nijuavyo pesa haijawahi kutosha kwa mtu yeyote, ni kwa nini hizo pesa wasiwape raia wao?

Na wajaze mishahara zaidi kwa wafanyakazi wake? Wanapata faida gani hawa jamaa.

Huko Afghanstan wameshatumia matrilioni ya pesa kwa taifa lisilo lao, wanaongoza kwa contribution kwa UN na misaada kote ulimwenguni, ni kwa nini wasigawane tu hizo pesa ndani ya taifa lao wale matunda yao peke yao?

Wajuzi wa haya mambo naomba msaada hapa.
 
huko afghanstan wameshatumia matrilion ya pesa kwa taifa lisilo lao, wanaongoza kwa contribution kwa UN na misaada kote ulimwenguni, ni kwa nini wasigawane tu hizo pesa ndani ya taifa lao wale matunda yao peke yao?

There are three types of homelessness – chronic, transitional, and episodic – which can be defined as follows:

CHRONIC HOMELESSNESS​

  • Persons most like the stereotyped profile of the “skid-row” homeless, who are likely to be entrenched in the shelter system and for whom shelters are more like long-term housing rather than an emergency arrangement. These individuals are likely to be older, and consist of the “hard-core unemployed”, often suffering from disabilities and substance abuse problems. Yet such persons represent a far smaller proportion of the population compared to the transitionally homeless.

TRANSITIONAL HOMELESSNESS​

  • Transitionally homeless individuals generally enter the shelter system for only one stay and for a short period. Such persons are likely to be younger, are probably recent members of the precariously housed population and have become homeless because of some catastrophic event, and have been forced to spend a short time in a homeless shelter before making a transition into more stable housing. Over time, transitionally homeless individuals will account for the majority of persons experiencing homelessness given their higher rate of turnover.

EPISODIC HOMELESSNESS​

  • Those who frequently shuttle in and out of homelessness are known as episodically homeless. They are most likely to be young, but unlike those in transitional homelessness, episodically homeless individuals often are chronically unemployed and experience medical, mental health, and substance abuse problems
 
Kwanza ujue Marekani hatoagi msaada wa bure.

Pili taifa la Marekani linafaidika mno na vita ulimwenguni as long as havipiganwi ndani ya Marekani.

Kuna viwanda vikubwa vya silaha Marekani ambavyo vinazalisha silaha nyingi ambazo lazima zitumike .

Hivyo lazima vianzishwe vita popote pale na Marekani atajifanya kuingilia kati na kutoa msaada.

Lakini kimsingi ni kuvisaidia viwanda vyake vya silaha na anajua hela zitarudi.
 
Biblia ilishasema heri kutoa kuliko kupokea lakini pia inawaongezea kauli mamlaka na maamuzi dunia nzima vitu ambavyo in return vinamletea super profit kwenye dili kubwa duniani hasa kwenye masoko ya hisa ambapo kila mwekezaji angependa awekeze sehemu yenye usalama wa pesa zake ambapo ndio marekani sasa.
 
Bado sijaona uchambuzi wa moja kwa moja namna Marekani anavyofaidika kwa misaada yake ulimwenguni.

Wewe bwana uliyefananisha na mvuvi kuweka chambo kwenye ndoano hebu njoo ufafanue zaidi naona kama nilianza kuelewa hivi.
 
Ile sio misaada ni mikopo itakayokuja kulipwa na wayukrein. Usidanganywe na BBC au dochawele
Yeah... Kuna aliyewahi kuniambia kuwa zile CNN, DW, VOA, BBC AL-JAZEERA na kadhalika ni vyombo vikuu vya propaganda ulimwenguni kuna mambo hupaswi kuwaamini hususani haya ya kitakwimu
 
Yeah... Kuna aliyewahi kuniambia kuwa zile CNN, DW, VOA, BBC AL-JAZEERA na kadhalika ni vyombo vikuu vya propaganda ulimwenguni kuna mambo hupaswi kuwaamini hususani haya ya kitakwimu

sidhani kama ni kweli. Wanaongea yote negative na positive kuhusu mataifa yao. Ndio maana leo tunajua madhara yanayowapata ulaya kutokana na vita kwa sababu ya uhuru wa vyombo hivyo.
 
Back
Top Bottom