Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,206
- 7,720
... sijui nani anunue na nani auze kama wote kazi ni kuuza!!?Uchumi wa fremu, noma sana!! Kila mtu akijenga karibu na barabara lazima ajenge frem zake ili wachuuzi wajipange.
... sijui nani anunue na nani auze kama wote kazi ni kuuza!!?Uchumi wa fremu, noma sana!! Kila mtu akijenga karibu na barabara lazima ajenge frem zake ili wachuuzi wajipange.
Punguza hasira kijanaAmka huko ndotoni utajinyea
Punguza hasira kijanaAmka huko ndotoni utajinyea
Bwashee umeona watoto wa kiislam walivyo wazuri na wamoto?Shejiyangu kaja kuniomba ushauri, eti mumewe anataka kuongeza mke wapili....😋
View attachment 3601698
Uongo. Gen Z wamejaa vijijini mpaka mijini. Wanafanya kila kazi kuanzia dereva bodaboda, bajaji, kulima, kila kituleo hii hata serikali iseme ianzishe mashamba ya kulima kwa vikundi kweli hawa gen Z unawaona wako tayari kweli waende manyara ndani vijijini pasipo na internet..wao wanapenda soft life ni wa vivu sana na sio waoga kuishi bila kazi
Kuna mmoja amesha nisilimisha, kwanamna anavyo faham kujistiri....😋Bwashee umeona watoto wa kiislam walivyo wazuri na wamoto?
Mabinti wanaojisitiri ni wazuri kinouma, wana vimanyoya flani hivi na rangi yao imetulia mno 😋Kuna mmoja amesha nisilimisha, kwanamna anavyo faham kujistiri....😋
Inaanzisha kweli? Mana kwenye makaratas hela kibao ukija graund huzioni. Watu wanazipiga, na sio sir tenaleo hii hata serikali iseme ianzishe mashamba ya kulima kwa vikundi kweli hawa gen Z unawaona wako tayari kweli waende manyara ndani vijijini pasipo na internet..wao wanapenda soft life ni wa vivu sana na sio waoga kuishi bila kazi
Kiwanda nchi hii? Unazijua siasa zilizopo kwa wenye viwanda?Mkuu unamawazo kama yangu, jamaa fulan don wa Rockcity nikawa napiga naye story Yan kwa uwezo, wake afunguwe kiwanda hata Cha kuchakat karanga,hila mwamb anawaza kujenga frem
Mkuu kiwanda hinawezekan vinzuli tuu kwa uchakataji wa nafaka mfano unga,Mchele,pamoja na kalanga Mimi nilimpa wazo la kalangaKiwanda nchi hii? Unazijua siasa zilizopo kwa wenye viwanda?