Taifa la Israel (Wana Israel) Halirogeki?

Taifa la Israel (Wana Israel) Halirogeki?

Hv walio atempt kutundika yesu ni kina nani?
 
Dini zote ni vifungo vya imani, kwenye kifungo chochote hauko huru kujua ukweli ulionje ya gereza ulilofungiwa mpaka uwe huru. Ni kweli tuu ndio utatuweka huru. Sasa nani yuko huru kati yetu mpaka adhihaki dini ya mwenzie?
 
Jibril is a muslim, in contrast, Gabriel is from God, has no religion just like Christians.
"Has no religion just like christians".... tafsiri.... "Hana dini kama wakiristo tu" Kumbe wakiriso hawana dini? sasa ukiristo ni kabila au?
 
Back
Top Bottom