" Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo, Wala hapana uganga juu ya Israeli. Sasa habari za Yakobo na Israeli zitasemwa, ni mambo gani aliyoyatenda Mungu! "
= > HESABU 23 : 23
![]()
Hao ni wazee wa Mohamed Said
Ukiiombea Nchi Ya Israel, Mungu Pia Anabariki Maisha Yako,na Hakuna Taifa La Kuishnda Israel Duniani Mpaka Yesu Anarudi
Ukiiombea Nchi Ya Israel, Mungu Pia Anabariki Maisha Yako,na Hakuna Taifa La Kuishnda Israel Duniani Mpaka Yesu Anarudi
Kama Mungu aliumba binadamu kwa upndeleo hivi, sioni kama sisi hangetuhusu.
MUNGU mbariki MKWAWA, ALLY MBANO SONGEA na KINJEKETILE NGWARE...
Waliwafurusha Wale wa ANGLICANA to the MAXIMUM!I
TOFAUTI na HAO sisi tungekuwa VINYAMKELA vya MAKANISA hadi leo...
Ameeen
Bas marekan na washirika wake wasimkingie kifua uone..israil inavyotoweka dunian
Hahahaha....aiseee umenichekesha sanaBadala ujivunie mkwawa ama kinjekitile unajivunia huyo msyria yakobo?
omari????????Wewe mwenyewe mtoa post ni booonge la bwege unajiita Hitler kwanini usingejiita
Nzinga mbandi
Omar makunganya
Monomotapa
Kinjikitile
Kunta kinte
Kimbangu
Etc kama kweli una pigania uafrica
Wewe hewa!!Jibril is a muslim, in contrast, Gabriel is from God, has no religion just like Christians.
Sio lazima uComment kama huna jibuBadala ujivunie mkwawa ama kinjekitile unajivunia huyo msyria yakobo?
Israel dk sifuri tuuu watu wakiamua kuipoteza kwenye uso wa dunia inapotezwa...
Umeandika upuuziKiongozi, yalimshinda jibril, wataweza hawa makafir wa kiislamu.
Kwa wajinga huu ni ujinga lakini kwa wenye nazo ni hekima zaidi ya akili za binadamuhuu ni zaidi ya u.jinga......