Tai hapigani na nyoka ardhini

Kongole sana mawana wane....
 
Point kubwa juu ya ujumbe wako kaka Mshana Jr ni nini hasa kwenye hili jukwaa maana naona kila mtu anazungumza lake!
 
Mkuu umezeeka halafu ndiyo ukakua kiroho.Bonge la ujumbe
 
𝐀𝐰𝐞π₯𝐒
Usipigane na adui katika eneo lake la faraja, badilisha uwanja wa vita kama Tai na Mungu akusimamie kwa maombi yako ya bidii na ya dhati ya moyo wako.

Utakuwa na uhakika wa ushindi safi[emoji419][emoji375][emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona hapo nyoka kabamizwa kwenye uwanja wake wanyumbani. Aka kwa mkapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…