Tai Five Hotel(Mwanza) inauzwa

bukoba boy

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
5,370
3,958
Vipi sababu ni nini za kuuza ?na wanasema they are not bound to accept any bid/offer..sasa wanauza kwa maana gani?
 

Attachments

  • 1453290590383.jpg
    1453290590383.jpg
    120.2 KB · Views: 90
  • 1453290600680.jpg
    1453290600680.jpg
    100.5 KB · Views: 87
Nimefuatilia kuhusu hii hotel na kubaini yafuatayo, huyu jamaa alikopa TShs. 750m/- na yeye akawekeza TShs 800m/- akajenga hotel ya gorofa 3. Tangu Skopje amerejesha marejesho zaidi ya TShs 600m/-. Lkn bado RIBA inamtafuna. Tatizo lililopo ni masharti ya BOT KUTORUHUSU BENKI KUTOA MIKOPO YA UWEKEZAJI HIVYO HATA UKIKOPA KWA AJILI YA UJENZI UNATAKIWA KURUDISHA MKOPO NDANI YA MIEZI 36. Hii haiwezekani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom