Hao wana dual citizenship baba bongo hamna hio unaona yule Miguna kapelekwa zake Canada wale viongozi wamejipanga kotekote huku ukizingua ukifutiwa uraia wako ndo basi tenaNakumbuka Kenya waliweza kukutana mpaka kumwapisha Raila pamoja na ubabe wa polisi wao japo haikua na umaana sembuse wangekuwa wanadai katiba!! Kunanchi watu hawataki ujinga kabisa.
Hatukuandamana wakat tunasaini mikataba ya kipuuzi kuwapa bure madini yetu.
Tunataka kuandamana kipindi tunataka kurekebisha mapungufu Yale. Wadanganyika bwana
JWTZ ujue wapo pia naona unaota polisi tu.Nani kakwambia iko locked... sikunile tu.lowasa alivyokuwa anachukua fomu watu 1000 tu walitaka kupiga mabomu walivyoona ile nyomi ilibidi wasande...na hata hawakuzidi buku 2. Ndio unambie mikoa 25 yote ilipuke ndo waweze kuzuia...hata wajigawe mara laki hawataweza kuzima.
Acha uongo siku anachukua fomu alipewa kibali cha kusindikizwa na wafuasi wake toka buguruni hadi ofisi za tume na polisi .Wagombea wote walipewa uhuru huo bila ubaguzi.Lowasa akaja na nyomi zake za kukodi hakuna aliyembughudhiNani kakwambia iko locked... sikunile tu.lowasa alivyokuwa anachukua fomu watu 1000 tu walitaka kupiga mabomu walivyoona ile nyomi ilibidi wasande...na hata hawakuzidi buku 2. Ndio unambie mikoa 25 yote ilipuke ndo waweze kuzuia...hata wajigawe mara laki hawataweza kuzima.
Ila, tuseme na sisi tunakuwa na maandamano kama yale ya ‘Arab spring’, ni sehemu ipi hapa Dar ambapo panafaa kukusanyikia?
Mnazi Mmoja? Viwanja vya Leader’s? Kawe kule Tanganyika packers?