Sema utaandamana kisayansi semea nafsi yako ukiweka tutaandamana humjui vizuri huyo mtakayeandamana naye ni nani na aweza kukufanya niniTuandamane ili mtuuwe, tutaandamana kisayansi
Muda ukifika hakuna wa kukataa kuandamana, amini na waambia hata libya hawakutegemea kama kungekua na siku wangempinga Gadafi!Naunga mkono hoja, hakuna maandamano yoyote wala hatuna yeyote wa kuandamana.
Unafikiri wanaoandaa hawalijui hilo au unadhani wanaandama sherehe ya watu kwenda kula pilau.Tanzania hakuna kiwanja free vina wamiliki huwezi kuingia popote kama misri.Ukiingia kwa nguvu kitachokupata utajijua
Anzeni kwa kutumia majina yenu halisi na mpige kampeni za wazi wazi!Kile kitendo cha watu kuanza kuongea tu mitandaoni suala la kuandaa mgomo usidharau nayo ni hatua.
Arab spring walioongoza mapinduzi yale ni diasopora ambao walikuwa na uraia wa nchi mbili,kote mapinduzi ya Iran na Afghanstan yote yaliongozwa na diaspora kama mainjinia.Tanzania kulijua hilo imegoma hadi leo kata kata swala la kukubali duo citizenship.Mtu achague moja kuwa mtanzania au raia wa huko aliko.Hivyo uwezo wa Diaspora kuota kuwa yale ya arab spring wanayaweza sio kweli.Kenya,Uganda,Rwanda waweza lakini Tanzania ni Diaspora Bullet Proof.Na sababu ya kutoruhusu hao wenye uraia pacha wanaogopa wakikanyaga Tanzania na uraia wao pacha hawarudi tena.Ndio maana hata likizo wanagopa kuja wakati midiaspora ya Arab spring ilikuwa ikiingia na kutoka kama chooni.Kwenye zile nchi zaoWanapiga kampeni nje ya nchi hata kuja holiday hawasubutu, ndio maandamano!
Mimi nafanya tuu kazi ya ushauri wa bure.Mkuu hata wewe huendi ? au unasubiri yakolee ndio ujifanye ulikuwepo na unaunga mkono?
Waishaongea mangapi?Kile kitendo cha watu kuanza kuongea tu mitandaoni suala la kuandaa mgomo usidharau nayo ni hatua.
Nyani Ngabu kama ulikushinda UKUTA utaweza nini tena, we endelea kulea wazee wa kizungu maandamano Tanzania yamebaki historia!
Panua uelewa.Anzeni kwa kutumia majina yenu halisi na mpige kampeni za wazi wazi!
Mwenyekiti wenu mwenyewe kajificha kwa kuogopa kujisaidia kwenye debe ndio mnataka sisi tuandamane?!
Anzeni kwa kutumia majina yenu halisi na mpige kampeni za wazi wazi!
Mwenyekiti wenu mwenyewe kajificha kwa kuogopa kujisaidia kwenye debe ndio mnataka sisi tuandamane?!
Kila post chadema chadema chademaaaa, inakuuma sana nini? waandike na ccm kdg tupumue
Hata wakati wa mapinduzi ya Libya kulikuwa na watu kama wewe mitandaoni, nikukumbushe tu kauli ya Membe aliyekuwa waziri wa mambo ya nje naye alikuwa akibeza kuwa 'nchi haiwezi kupinduliwa kwa pickup', kilichotokea ni historia.Sema utaandamana kisayansi semea nafsi yako ukiweka tutaandamana humjui vizuri huyo mtakayeandamana naye ni nani na aweza kukufanya nini
Anzia kwako tafadhali tutajie jina lako usijiite babu M mana M haijulikani inamaanisha matako,matango,mapumbu,mazuzu ama nini mkuuuAnzeni kwa kutumia majina yenu halisi na mpige kampeni za wazi wazi!
Mwenyekiti wenu mwenyewe kajificha kwa kuogopa kujisaidia kwenye debe ndio mnataka sisi tuandamane?!