Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,088
- 136,602
Kuna minong’ono nong’ono ishaanza kusikika toka kwa baadhi ya watu juu ya maandamano ya kupinga yaliyotokea kipindi cha chaguzi maalumu zilizomalizika wiki jana.
Niwajuavyo Watanzania, sidhani kama kutakuwepo na hayo maandamano. Wataishia kusema sema tu mitandaoni, basi. Mwishowe watasahau na wayalalamikiayo yatapita tu kama upepo.
Ila, tuseme na sisi tunakuwa na maandamano kama yale ya ‘Arab spring’, ni sehemu ipi hapa Dar ambapo panafaa kukusanyikia?
Mnazi Mmoja? Viwanja vya Leader’s? Kawe kule Tanganyika packers?