TAHLISO waionya Chadema

tangu lini TAHLISO ilikuwa chama cha siasa hata inakashfu chama cha siasa?

baadhi ya vijana wa nchi hii ni wapumbavu sana.
 
Kwahiyo na nyiee wapigania demokrasia tunaowamini mnatembelea nyao za CCM?? Lini tutaona utofauti wenu na CCM??
Wewe ni CCM muajiriwa wa CCM kupost ujinga ni kazi ya vijana wa CCM kama hao vijana wa CCM wanaojiita TAHLISO, jibu hoja lini waajiri wako walikubali ushauri wa kuimarisha demokrasia au kwa kumfilisi na kumfungulia kesi Mbowe?
 
We muajiriwa wa lumumba hoja siyo kusema for the sakeya kusema, bali kuweka maslahi ya taifa mbele siyo ya kikundi cha wachache wala nchi wa CCM.
Kwa hiyo wao wanaona wanastahili kusema against CHADEMA siyo for CHADEMA? Huwezi kusupport chama kikongwe kama una akili timamu?
 
Unadhihisha upumbavu wako hutambui hao waliokutuma hawataki kuwaruhusu CHADEMA kufanya mikutano ya siasa? Wapi wakafanyie huo mjadala?
Halafu jifunze kutumia akili ukiwa unajadili na wenye akili. Ni wapi katiba imekataza mwananchi kujadili maslahi ya nchi? Tunabishana kwa hoja jenga hoja kupangua yao la sivyo na wewe utaonekana mpumbavu kama TAHLISO
 
😃😃😃vijana wadogo tunashida sana asee eti kakikundi
Alafuu bhuuuuh mtu kama uyo anapewa madaraka zaidi ya ayo aliyonayo sasa hivi
Nchi lazima jua liwake sana, mvua tuzikose, umeme ukatike sana na maji yatukimbie
 
Chadema si walikataa kushirikiana na hicho kikosi kazi basi walitakiwa kukaa pembeni waawachie vyama waliokubaliana na kikosi kazi sio wajitokeze na kuanza kutoa mapovu Yao na matamko kama ya waimba taarabu
Wana haki ya kuonyesha mapungufu na matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi kutumika kinyume na katiba.
Au na wewe kwa kukosa kwako akili unajua ni hisani ya raisi?
Je hiyo tume kazi ya tume iko binded kwa ushauri wake kutumika?
Unakumbuka raisi alisemaje kuhusu mapendekezo ya tume?
KILAZA wewe sijui hata unajua implications zake mradi upate ujira wako Lumumba?
 
Hao viomgozi wa TAHLISO sijui wametorka Milembe wakaja kuwaongoza wanafunzi!

Nategemea wakemewe na Mamlaka inayohusika, wasipokemewa uko mbeleni.......
 
Hiyo mamlaka ya kuwakanya na kuwazuia kufanya siasa wameipata wapi? CCM?
 
Punguza upumbavu CHADEMA wanafanya kazi ya siasa kwa mujibu wa katiba.
Suala ni moja wapi wamesema hawaheshimu mawazo ya wengine, ni lazima wakubaliane na maoni ya kikozi kazi batili ambacho hata raisi mwenyewe amesema hadharani kuwa siyo sheria?
Utaahira mwingine ni harakati nani mwanahatakati?
Tamko lipi na la nani walilolidandia? Na je kutokukubaliana na mwingine ni kukataa demokrasia?
Kabla ya kukubali hizo kazi kwanza mtafute ufahamu wa mnachotumwa kukitetea
 
Sio Kila pendekezo ulipendalo wewe lazima lipite jamaaa. Lazima lijadiliwe Kwa mapana na Kisha lichunguzwe zaidii. Acheni kulazimisha mawazo yenu huo ni ubishi
Kwa hiyo hawatakiwi kukataa wala kutoa mawazo tofauti?
Kweli CCM imetengeneza kizazi cha wapumbavu
 

Tangu lini mtu mwenye njaa akaweza kuenenda kama msomi? Professors wenyewe wanaopewa hizi assignments na watawala wanaweka usomi wako mfukoni, sembuse hawa pimbi ambao hata shahada ya kwanza hawajapata!
 
Unazidi kuonyesha mapungufu yako ya akili tume ya Warioba ilikuwa na mamlaka kisheria lakini hii kikozi kazi ni kama hisani tu, kwa hiyo unataka wote wawe vilaza kama wewe?
 
Lowasi ndio nani? Umakini kwenye maandiko unakupa umakini kwenye akili. Yako ni takataka uliyoandika
Chadema wangekuwa na msimamo Lowasi asingeweza kuwa mgombea urais wao ,zaidi ya miaka kumi walituaminisha kuwa alikuwa ni fisadi
 
Kweli nimeamini MTU hula uchafu wake ajinusuru
 
Kama hata mpumbavu atakukosoa bila uzito wa hoja basi tutakuwa na taifa la wajinga wasiokuwa critical thinkers tukikubali ujinga wao, na demokrasia siyo kukubali kila upumbavu.
Kwani huko kwenye chama chenu mnamatabaka ya watanzania wa kuwahoji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…