rootadmin
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 348
- 243
- Thread starter
- #21
Najua hii thread ni outdated ila nafikiri nothing to lose nkiweka comment yangu!
Mm naona unajaribu kupotosha tu au haujafanya research ya kutosha kabla haujaweka bandiko lako!
Unaposema Kuwa DDOS hawezi fanya mtu mmoja sijui unaongelea katika component gani?
Hivi ulisikia kipindi cha nyuma kuhusu Mirai Botnet ambayo mtu alitengeneza Malware ambayo ili infect multiple devices zilizo connected na internet then akazitumia hizo devices for attacks kama hizo za DDOS.
Source code za Mirai Botnet zinapatikana Github jgamblin/Mirai-Source-Code
je haujawai kusikia kuhusu huduma zinaitwa Booters and Stressers yaani wewe hapo unalipia service online watu wanakuuzia traffic ya ku congest site unayotaka(DDOS)?
Traffic za hivi nazo zina originate si kwa kuwakusanya watu kwenye forum kama wewe unavyosema, bali kuna malwares wame infect devices na hizo devices ndo source ya hizo traffic za ku congest website na unnecessarly traffic na kuifanya site iwe unreachable.
Hapa chini ni mfano wa picha ya huduma kama hizo huko mitandaoni
View attachment 774337
yaah hauwez kufanya ddos pekeako achana na hizi za kununua hapa ninasemea zile za kufanya yaani hulipii kitu yoyote ni wewe tu na bando lako hata hawa wenyewe wanao kuuzia hzi traffics wanatmia bots kugenerate traffic so hapo huwez kua pekeako hata kidogo