Taharuki ya Shambulizi la DDOS

Taharuki ya Shambulizi la DDOS

rootadmin

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Posts
348
Reaction score
243
Hivi karibuni kulitokea shambulizi kubwa la DDOS katika Mtandao WA jamii forums. Lakini shambulizi hilo ni kwamba watu wengi walichukulia kisiasa zaidi. lakini shambulizi hilo halikuwa kisiasa.
Zifuatazo ni sababbu zilizo pelekea mtandao wa jamii forums ujumuishwe katika DDOS attack hyo.
Na namna ya kuperform ddos attack.

kwanza kabisa ningependa leo nitoe nini maana ya DDOS.
kwakifupi Ni mfumo wa mashambulizi ya mtandao ambapo mdukuzi (attacker) huamua kufanya hivo ili kuzima kabisa mtandao.

MADHARA YA DDOS.
Iwapo mtandao fulani utapigwa ddos basi dhairi ni kwamba kuna baadhi ya mitandao huwa inazima kabisa na kupotea hewani moja kwa moja hadi pale watakapo badilisha url address. Mitandao hyo ni ile ambayo haina security system yoyote.

SABABU ZA KUFANYA MASHAMBULIZI YA DDOS.
Zipo sababu nyingi sana za kufanyika kwa mashambulizi ya DDOS.
Sababu za kibiashara,
Sababu binafsi,
majaribio ya wanafunzi wanaoseomea masomo hayo ya ethical hacking wanaweza wakawa wanachagua targets zao kwabahati mbaya site yako ikawa kati ya targets zao,
Sababu za kisiasa japo kuwa vyama husika au watu husika ndipo huwa wanafanyiwa attacks za namna hii. Na nyinginezo nyingi.

MOJA KWA MOJA TWENDE KWENYE SABABU ZILIZO FANYA JAMII FORUMS ISHAMBULIWE.

Hivi juzi kati kulikuwa na kampeni za vikundi vya wadukuzi mbali mbali nchini marekani na china kupitia DARK WEB kampeni hizo zilikuwa ni kupanga mashambulizi ya kuzima name servers (DNS) za cloudflare. Na siku hyo tarehe 24 waliipanga kuwa ni siku ya WORLDWIDE DDOS ATTACK.

Katika hzo DNS dns ick.ns.cloudflare.com zara.ns.cloudflare.com hzi ndizo DNS ambazo zilionekana zikiwa na vulnerability ya SlowLoris.
kwahiyo mtandao wa jamiiforums nao upo hosted na hizo servers kilicho fanyika ni kwamba baada ya kufanya attack hyo mnamo tarehe 24/4/2018 zilikuwepo website nyingi ambazo zilikuwa attacked na DDOS ikiwemo jamiiforums.
Ijulikane kuwa shambulizi hilo limeanza tarehe 24 mwezi huu. hadi taree 27 ndipo kampeni hiyo ilipo isha.

IFUATAYO NI ATTACK MAP INAYO ONYESHA MASHAMBULIZI YA DDOS.

ddos.jpg

So kama mnavo ona hapo attack nyingi zinapotoka na ports husika zinazo kuwa affected hyo ni as 24th april 2018.

KWANINI KAMPENI HII YA KUZIMA DNS ZA CLOUDFLARE ILIFANYIKA.?
Kwakifupi ni kwamba wadukuzi wengi huwa wanshindwa kufanya attack katika website ambazo zilizo katika cloudflare so baada ya kushindwa DDOS ndio mkombozi wao wa mwisho katika kudukua system hiyo na lengo ni kuipoteza kabisa.

Tambua kuwa DDOS huwa haipigwi na mtu mmoja. DDOS huwa inapigwa na kikundi cha wtu wengi dunia nzima. watu hao hutumia njia ya CAMPAINS KATIKA FORUMS ZAO kwamfano utakuta mmoja wao kapost
"on 23th may, we will perform a ddos attack on Example Domain"
So wale mebers wengine wakiona post hyo huwa wanasave date tuu siku ya tukio ikifika ndo wanafanya yao. Usiombe uwe katika target yao. Kwamaana huwa hawaachi vitu salama.

VIFAA VINAVYO TUMIKA KATIKA KUFANYA DDOS YENYE NGUVU.
Kwa sababu za kiusalama nitaorodhesha tu tools ambazo huweza tumika katika kufanya ddos.
1) Kundi la watu wasio pungua 50 Wenye werevu na kuendelea ili kupata nguvu ya kufanya tukio.

2)Computer yenye ram gb16 processor core i7 Operating system ya KaliLinux, Backbox linux,ParrotOs,AnonymousOs . ilikupata speed ya kuflood servers coz ukiwa na ram ndogo na processor ndogo itapelekea hadi computer yako kuwa DDOSED too. so ili kuepuka hlo hakikisha kuwa upo na pc yenye uwezo.

3)VPN. na tools za kufanya DDOSING.

NITAEPUKAJE NA MASHAMBULIZI YA DDOS.
1)Jijaribu wewe mwenyewe.

Kuna baadhi ya security experts huwa wanajaribu kutengeneza script za python kwenye servers zao ili kuweza kufanya filter ya bad traffics from outside. Ambazo huwa zinatumia Firewall iliyopo ili kuzizuia zisiendelee kuleta madhara. Njia hii ilikuwa inatumika miaka ya nyuma kidogo. kwasababu attacks za kipindi hico zilikuwa ni za kawahida sana tofauti na attacks za kipindi hiki zipo na nguvu na more secured.
So wewe kama security expert utatakiwa uwe na firewall yenye nguvu.

NAWASILISHA......
Haya ni mawazo yangu kutokana na uchunguzi nilio ufanya mimi mwenyewe na nina evidence nao. so kama unaona unauchunguzi zaidi na evidence unaweza ukatuambia zaidi.

Chek me on instagram
master (@mastercluzz) • Instagram photos and videos


luq12
Mshomba
 
Aisee nimechelewa kidogo, nilikuwa nacheki game japo nimepewa za uso na Fellaini
 
Asante kwa ufafanuzi nimekupata vizuri sana, labda nikumbushe tu kuwa hawa wausika waliokusanyika marekani, naona na Tanzania ilikuwa target yao hasa kwa siku muhimu kama; kipindi cha uchaguzi 2015 etc
 
Nini kifanyike kuepukana na shambulizi, je baada ya shambulizi waathirika wanatakiwa kufanya nini? namanisha watumiaji wa mtandao husika lets say members wa JF tulitakiwa kufanya nini? maana nilihangaika sana siku hiyo.

Nakumbuka siku hiyo uliweza kutuma msg ulifanyaje?
 
Asante kwa ufafanuzi nimekupata vizuri sana, labda nikumbushe tu kuwa hawa wausika waliokusanyika marekani, naona na Tanzania ilikuwa target yao hasa kwa siku muhimu kama; kipindi cha uchaguzi 2015 etc
Yaah hii pia inategemeana na pressure ya watu. Sku zote hackers wanapenda kufanya yao sku ambazo wanajua kuwa watu lazima wajue ndomana huwa wanatumia sku hzo special kama sku za kitaifa, skukuu mbali mbali, na hata matukio au hafla za kitaifa huwa wanapena kupata kiki kupitia sku hzo kwani watu weng huwa wanakua online.. Jarb kufatilia time line yao. Sku zao nyingi nibtarehe 24,26,28.. Maramoja kwa mwezi yani kat ya hzo tarehe lazma jambo litokee..
 
good thread nakuunga mkono mkuu. jf was just a a collateral damage
 
Nini kifanyike kuepukana na shambulizi, je baada ya shambulizi waathirika wanatakiwa kufanya nini? namanisha watumiaji wa mtandao husika lets say members wa JF tulitakiwa kufanya nini? maana nilihangaika sana siku hiyo.

Nakumbuka siku hiyo uliweza kutuma msg ulifanyaje?
Actually huwezi zuia shambulio by lip la ddos while linapokuwa active.
So kama servers zako umehost from physical location sio cloud unaweza ukaenda kushut down hzo servers ili kuzuia muendelezo wa attack..

Niilituma messages coz kuna njia huwa nazitumia pale nnapo ona kuna ishara zote za shambulizi.
 
Shukran.

Ila hapo kwny maana ya Ddos attack-umeniacha solemba.

Maelezo hayana nyama za kutosha.

Naomba kufahamu;
Kirefu cha DDOS mkuu
 
Shukran.

Ila hapo kwny maana ya Ddos attack-umeniacha solemba.

Maelezo hayana nyama za kutosha.

Naomba kufahamu;
Kirefu cha DDOS mkuu
Ndomana nikasema kwa kifupi..

DDOS distributed denial of service attack
Hii ni shambulizi la kimtandao ambalo huwa linatekelezwa kwa nia ya kufunga kabisa mawasiliano ya mtandao husika. DDOS hutumia botnets (ni computer,robots,au trojan viruses) ambazo hutumwa kwa request nyingi na lengo ni kumaliza bandwidth ya mtandao husika so bandwidth ikiisha au ikiwa na traffic kubwa huwa inafanya huduma ziaipatikane kabisa. Kwamfano kipindi cha matokeo ukifungua mtandao wa necta huwa haupatikani kabsa mda mwingne so kile ni kama kitendo cha ddos kwani watu wengi kutoka sehemu mbali mbali huwa wanaaccess web hyo. Nafkiri umenielewa kiaina.?
 
Ndomana nikasema kwa kifupi..

DDOS distributed denial of service attack
Hii ni shambulizi la kimtandao ambalo huwa linatekelezwa kwa nia ya kufunga kabisa mawasiliano ya mtandao husika. DDOS hutumia botnets (ni computer,robots,au trojan viruses) ambazo hutumwa kwa request nyingi na lengo ni kumaliza bandwidth ya mtandao husika so bandwidth ikiisha au ikiwa na traffic kubwa huwa inafanya huduma ziaipatikane kabisa. Kwamfano kipindi cha matokeo ukifungua mtandao wa necta huwa haupatikani kabsa mda mwingne so kile ni kama kitendo cha ddos kwani watu wengi kutoka sehemu mbali mbali huwa wanaaccess web hyo. Nafkiri umenielewa kiaina.?
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Najua hii thread ni outdated ila nafikiri nothing to lose nkiweka comment yangu!
Mm naona unajaribu kupotosha tu au haujafanya research ya kutosha kabla haujaweka bandiko lako!

Unaposema Kuwa DDOS hawezi fanya mtu mmoja sijui unaongelea katika component gani?

Hivi ulisikia kipindi cha nyuma kuhusu Mirai Botnet ambayo mtu alitengeneza Malware ambayo ili infect multiple devices zilizo connected na internet then akazitumia hizo devices for attacks kama hizo za DDOS.

Source code za Mirai Botnet zinapatikana Github jgamblin/Mirai-Source-Code

je haujawai kusikia kuhusu huduma zinaitwa Booters and Stressers yaani wewe hapo unalipia service online watu wanakuuzia traffic ya ku congest site unayotaka(DDOS)?
Traffic za hivi nazo zina originate si kwa kuwakusanya watu kwenye forum kama wewe unavyosema, bali kuna malwares wame infect devices na hizo devices ndo source ya hizo traffic za ku congest website na unnecessarly traffic na kuifanya site iwe unreachable.

Hapa chini ni mfano wa picha ya huduma kama hizo huko mitandaoni
Screenshot_6.png
 
Back
Top Bottom