TAHAJUDI (Meditation): Mbinu, faida, aina na mambo ya kuzingatia

Ukitaka kujifunza jinsi ya kujua tahajud hapa sio mahali pake ndugu yangu kila kitu huwa na mahali pake ila tunachokosea ni kuweka kitu mahali sio pake nina uhakika kabisaa unaweza kujifunza jinsi ya kujua kuswali tahajud kwa kutumia vitabu lkn sehemu km hii ambayo wengi waliokuwepo sio waislamu sio mahali pake nenda kwenye maktaba sehemu zenye vitabu au msj mtoro kuna shehena la vitabu utajifunza vitu kuliko hapa nikukupa either hutaelewa au utabisha au sijajua una nia gani ya kutaka kujua au kutaka kupinga kwani wengi waliokuwa ktk hii forum either wanatumia sana akili zao kupinga wala sio kujua nadhani utakuwa umeelewa na km ni uvivu wa kusoma dini yk nitakupa pole sana ndugu yangu ila hujachelewa nenda katafute vitabu usome pkee yako na uelewe halfu usipoelewa ndio ututafute
 
jibu mujarab,humu wamejaa wagalatia hii post yaweza geuka ikawa kukashifiana,kuna jamaa humu ndani namfaham kama kahtaam sijui nimepatia jina,mtafute private upate ilimu.
 
Wewe post #2 futa comment hiyo, haina msaada kwa mleta mada.
Sifuti bora ibaki isiwe na msaada lkn nimeongea ukweli hata hali ilivyongumu sasa hivi tatizo ni kuweka kitu mahali si pake so wacha tuisome number na huyu ndugu anayetaka kujua km kweli ataka kujua atajua km anataka kujua mihemko ya watu itakuwaje au atajibiwaje basi amenoa atafute kingine chakufanyaa maana kuna jamaa anajiita jeremia edward aliweka kwa maksudi kabisa kwakutumwa au kwa kutokujua nguruwe juu ya alhaaba alitumwaa afanye vile halafu wakaae pembeni ili waangalie mchezo utakavyokuwa halafu ianze kamata kamataa ya watu huko kote ni kuweka kitu mahali sio pake au ulishawahi ona wanaojiita waislamu wakidhihaki dini either kwa kumchora kiongozi wao wa kanisa kuwatukana au kukichoma kitabu cha bible mbele ya halaiki hutowahi kuja kusiki au kuona cha kujiuliza kwanini upande wa pili wanafanya mifano hiyo niliyotoa yote ndio imenipelekea kutokufuta au kutokujibu swali la huyo muulizaji na aache uvivu na kuuliza maswalia ya dini yk yanayomuhusu humu km yy alichukuwa miaka nenda rudi kusoma cicula lkn ashindwaje kuchukuwa hata mwaka mmoja kujua dini yake si kumdhihaki Mungu huko
 
Hapo tuseme ni 'lugha gongana'
Tahajud- kwa maana ya ibada maalumu ya usiku baada ya isha(witri) kwa waislamu.

Tahajud-kwa maana ya meditation ambayo nadhani ndio makusudio ya muulizaji
 
Unaulizia tahajud au tahajudi(meditation) kama meditation tafuta nyuzi intelligence za kina Rakims na wengineo
 
Kuna thread zipo jukwaa hili hili la jamii intelligence.
Tafuta thread yenye title "mwanzo wa meditation/jinsi ya kufanya tahajud

Nimekutage kwenye hiyo thread mkuu
 
Hii kitu kwa imani zetu za Mungu wa Biblia haina madhara?
 
Kwa kuweza kuongeza uwezo wa kuwa na concentration. Pia kwa kuweza kuiongoza akili hasa inapokuwa distracted na negative mental faculties.
Hivi unaposema inaongeza concentration unamaanisha nini? kwamba mtu asiye na concentration anakuwaje wakati wa mazungumzo?
 
Unanikoshaga sana a see"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…