Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,251
- 28,406
Nimepeleka LG Tv yangu kwenye karakana ya duka la vifaa vya LG iliyopo mtaa wa Nkurumah Dar es Salaam, ili ipokelewe nimelipa Sh. 30,000/=. Baada ya muda wakanipigia simu gharama za matengenezo Sh 250,000/= na zile 30,000/= inakuwa shs 280,000/= nusu ya bei ya Tv yenyewe Sh. 600,000/=.
Nimeamua kuichukua na wao wanachukua Sh.30,000/= bila jasho na mtu mwingine akienda watambamiza na bei kubwa ashindwe wapate 30,000/= za bure na huenda hawana spea au wameshindwa lakini pesa inaingia bila jasho.
Nimemkumbuka aliyewahi kuulizia karakana hii ya LG.