Tahadhari ya Tsunami kanda ya pwani Afrika Mashariki...

Hawa jamaa wanatuchanganya, naangalia channel ten wamesema tma wamewaambia hakuna tena tishio la tsunami , but nashauri ndugu zangu mkae chonjo kwani hawa jamaa hawatabiriki. Anaweza tupeleka chaka.
 
Wana JF, haya ni maajabu ya mussa, hivi kwenye dunia hii kuna mji unaitwa KAAMBOONI? Hebu angalia na wewe kwenye hiyo web waliyoorodhesha miji itakayoathirika na tsunami, labda nimesoma vibaya.
 
Back
Top Bottom