EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,356
Wabongo bwana kwa kutafuta kazi zisizowahusu!
Usichoelewa nini? Hakuna Tsunami Dar watu waache uvivu waendelee na kazi za ujenzi wa taifa.
Sasa kaka. Hata Gongo la Mboto tuliambiwa hakuna mabomu yanayolipuka kule turudi majumbani. Pia mafuriko ya hivi karibuni Dar, wabongo walilalamikia serikali kwa kutotoa tahadhari. I hope hutakuwa wa kwanza kulalama in either way.