Tahadhari ya linki za nje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari ya linki za nje

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Yona F. Maro, Dec 15, 2009.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Dec 15, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  LINKI ZA NJE

  Ndugu zangu kumetokea baadhi ya wanachama wenzetu kwenye majukwaa haya kutoa linki za nje kwenda kwenye baadhi ya tovuti ambazo sio salama matokeo yake ni kwa wale wasiojua kujisajili kwenye tovuti hizo kama wanataka kwa mfano kudownload programu au kuangalia chochote kile , program hiyo inashuka na virus au aina nyingine ya program ambazo zinaweza kuaumiza computer yake hata kuiba baadhi ya taarifa zake kwa njia hiyo .

  Kwahiyo wanaomba moderators wawe makini na linki za nje zinazoingizwa na wanachama kwenda kwenye tovuti mbalimbali , kuna baadhi yetu wanafanya uhalifu kwa njia hii kwa kisingizio cha linki za nje , suala hili ni gumu kidogo kujua haswa kwa wale wenzetu na hata baadhi ya antivirus hazina uwezo wa kutambua Linki za nje kama ni salama au si salama mpaka wewe mwenyewe utoa taarifa kwenye tovuti ya antivirus hiyo .

  Nachukuwa Nafasi hii kuwaomba muwe makini sana na linki za nje
   
 2. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,460
  Likes Received: 1,334
  Trophy Points: 280
  thanks shy
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  And what is new here?
   
 4. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #4
  Dec 15, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Labda ulichoandika wewe
   
Loading...