Tahadhari: wizi wa ATM nimeibiwa laki 4

Tahadhari: wizi wa ATM nimeibiwa laki 4

nyie wote mlionipigia simu toka twiga bancorp ndio wezi, mnajifanya mmnapiga simu toka branch nilikofungua account wakati mko hapa Dar, Nasema hivi, fedha nimewapa Nyie TWIGABANCORP na siwezi kujiibia PESA nataka HELA zangu hamna , acheni kunisumbua na intel zenu za kishamba..mteja NDIO MWIZI??? TOKEA WAPI, HAMNA MAANA NYIE..NIPENI HELA ZANGU...
 
wewe uliyenipigia kwa number hii +27250.....usijifanye wewe unajua sana intel hujui kitu, NATAKA PESA YANGU TWIGABANCORP
 
Mkuu wala hiyo sishangai hata mimi NMB nimewahi kuibiwa 15ml!
Kuna jamaa alipigwa DTB ATM ya pale Morocco jengo walipo Airtel... Mambo ya VISa hayo. Ana kadi ya CRDB na 'akavizwa' na ATM ya DTB. Yaani transaction imekamilika, lakini pesa haikutoka kwenye ATM..... Na walivyo wasumbufu, utakata tamaa mwenyewe...
 
...Bank zetu nyingi si salama!
inabidi kuwa makini sana unapochagua Bank ya kutunza pesa yako.
Hasa hasa TWIGA BANCORP waache kutuibia na kutupa sisi wateja mizigo isiyotuhusu..halafu huduma mbovu....
 
Customer care mnaringa sana wakati tunaweka humo hela zetu, hamuwezi acheni kazi , hela zinaibiwa mnaniuliza mimi??? Mimi ndio bank???
 
nyie wote mlionipigia simu toka twiga bancorp ndio wezi, mnajifanya mmnapiga simu toka branch nilikofungua account wakati mko hapa Dar, Nasema hivi, fedha nimewapa Nyie TWIGABANCORP na siwezi kujiibia PESA nataka HELA zangu hamna , acheni kunisumbua na intel zenu za kishamba..mteja NDIO MWIZI??? TOKEA WAPI, HAMNA MAANA NYIE..NIPENI HELA ZANGU...

Tatizo huja pale ambapo mtarejea picha za CCTV ukaonyeshwa mtu aliyekuwa anachukua hizo pesa, benki itakapokuwa inataka kujua kama unamfahamu wengi wanaishia kusema ndiyo huku wanasonya, ukiambiwa tusaidie tukamkamate Oooh haina haja nimejua nitayamaliza mwenyewe atanikoma, kumbe ....!!!!???? Kama una uhakika si wewe wala yule uliyejipendekeza kuonyesha upedeshee wako na mapenzi kwa kumtuma kuchukua hela kwenye ATM na siku nyingine akajituma mwenyewe,waambie wafuatilie kwenye mkanda wa CCTV kwa muda wa miamala kwenye statement
 
Nasema hivi, i will report this BOT na kote ninakojua, siwezi poteza fedha halafu mniulize mimi???? kuna mtu anaweza kuwa busy kujiibia PESA acheni ushamba na kuanza madharau, BANK tellers wengi wanaringa as if wao ndio millionaires while kumbe njaa kama sisi, sasa sisi waganga njaa tukipoteza pesa mnaanza kutuuliza sisi as if sisi ndio majambazi????
 
What is MINE MNIPE AND what is NOT SITAKI HATA KUJUA, NIPENI PESA YANGU TWIGABANCORP
 
Nasema hivi, i will report this BOT na kote ninakojua, siwezi poteza fedha halafu mniulize mimi???? kuna mtu anaweza kuwa busy kujiibia PESA acheni ushamba na kuanza madharau, BANK tellers wengi wanaringa as if wao ndio millionaires while kumbe njaa kama sisi, sasa sisi waganga njaa tukipoteza pesa mnaanza kutuuliza sisi as if sisi ndio majambazi????

pole kaka, ma teller wanao uzoefu wa kutosha watu wanao ripoti kuibiwa huku wao wakiwa ndiyo wafanikishaji wa wizi huo kupitia mke/mme, bibi/bwana. wapenzi pia kwa sana, hivyo sitegemei teller aone wewe ni tofauti na wengine wengi ambao waliripoti wengine kwa fujo kabnisa na viapo vya kutowahi kutoa kadi au namba ya siri,CCTV ikirejewa wananywea tuuu...
 
unaweza ongea uozo wowote ule uneoona wewe as long as unatetea system yenu ya majambazi wa bank , kwa sisi walala hoi, sasa muache kutuibia vi laki vyetu tuishi kwa amani, tunafamilia zinatutegema, MAMA YANGU ATAKULA WAPI WHILE YOU HAVE CLOSED MY ATM...mbwa nyie
 
Twiga bancorp acheni kutukatili sisi maskini tuna familia zinatutegemea, mnaacha mafisadi mnafunga account ya maskini kama sisi nyie ni wezi rudisheni fedha zangu,
 
...pole sana mkuu, fatilia mpaka kwa Branch Manager wa hiyo Bank
l hope atakusaidia.
 
Mkuu naona una jazba zaidi. Hebu punguza munkari elezea kwa utaratibu A to Z au wizi huu ukoje.

Sent from my BlackBerry - jamiiforums
 
nyie wote mlionipigia simu toka twiga bancorp ndio wezi, mnajifanya mmnapiga simu toka branch nilikofungua account wakati mko hapa Dar, Nasema hivi, fedha nimewapa Nyie TWIGABANCORP na siwezi kujiibia PESA nataka HELA zangu hamna , acheni kunisumbua na intel zenu za kishamba..mteja NDIO MWIZI??? TOKEA WAPI, HAMNA MAANA NYIE..NIPENI HELA ZANGU...
Tena wakomalia uende hata kwenye media,radio,magazeti usiwaache hadi waiteme hiyo hela wehu wakubwa.
 
...pole sana mkuu, fatilia mpaka kwa Branch Manager wa hiyo Bank
l hope atakusaidia.
hawakutaka nimuone wanaongea kama vile imepotea buku moja...these guys are ruthless and heartless, naibiwa mimi and i become the number one suspect?? najuta kuwa na ccount na nyie....
 
tafuta mwanasheria uwafungulie kesi.lakini itakua ngumu
hakuna kesi mkuu, kesi itachukua miaka kama si mwaka, plus nauli na mengine kufuatilia bora nipige kimya, isiporudi i count it as a loss, but hii sio benki, watu wanaringa badala ya kutoa msaada, na kuanza kukushuku muibiwa, kuna kazi nyingi za kufanya kuliko kuanza kujiibia mbona..acheni dhadrai nyie watu
 
watanzania tuache kuonyeshana dharau kwenye mambo ya msingi kama haya usipofahamika basi unadharaulika bila sababu za msingi, Kuna kazi nyingi za kufanya kuliko kuwa mwizi, embu oneni aibu na kuwa na heshima na watu
 
we byembalilwa acha utani,yaan ulilizwa mil.15 Nmb hahahahahahahahaha!
 
Back
Top Bottom