Tahadhari: wizi wa ATM nimeibiwa laki 4

Tahadhari: wizi wa ATM nimeibiwa laki 4

rafikimkweli

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
349
Reaction score
121
Wakuu kuweni makini na matumizi yenu ya ATM, nyingi si salama, nimeibiwa laki 4 leo hii.

NI bora kuingi ndani kuliko kutumia ATM.

Nimelizwa Bank wenyewe wanaanza kuleta hadithi ndefu..kucheki statement naonyeshwa transactions ambazo sikufanya..

Hakuna niliyempa namba ya siri, wala niliyempa ATM card yangu, kuweni makini..
 
Bank gani mkuu...? Wengine si kuandikaandika ndani twaona nouma...ni ATM tu tunasepa!!
 
ndani hawataki sasa, wanasema wanaruhusu kutoa kuanzia milioni, na sisi wenzangu na mie tumetoa pesa nyingi ni kilo
 
Wakuu kuweni makini na matumizi yenu ya ATM, nyingi si salama, nimeibiwa laki 4 leo hii.

NI bora kuingi ndani kuliko kutumia ATM.

Nimelizwa Bank wenyewe wanaanza kuleta hadithi ndefu..kucheki statement naonyeshwa transactions ambazo sikufanya..

Hakuna niliyempa namba ya siri, wala niliyempa ATM card yangu, kuweni makini..

Mkuu wala hiyo sishangai hata mimi NMB nimewahi kuibiwa 15ml!
 
Matukio kama yanatokea sana lakini nakumbuka kuna uzi humu JF uliokuwa unatutaka tuchukue taadhali za kutumia ATM.
 
sasa mkuu,unakuwa na maana gani kusema tu umeibiwa bila kutaja jina la bank hucka?unachoficha ni nini?
 
Wakuu kuweni makini na matumizi yenu ya ATM, nyingi si salama, nimeibiwa laki 4 leo hii.

NI bora kuingi ndani kuliko kutumia ATM.

Nimelizwa Bank wenyewe wanaanza kuleta hadithi ndefu..kucheki statement naonyeshwa transactions ambazo sikufanya..

Hakuna niliyempa namba ya siri, wala niliyempa ATM card yangu, kuweni makini..

Kuna point ambayo mimi bado sijakupata, inamaana wewe ulipo ingia kwenye ATM ndio uliibiwa au walikuibia kabla??
 
Nimekua nikitumia ATM bila kuingia ndani , nimekutana na transactions ambazo sikufanya, nawaeleza wanaleta sanaa, wezi hawa nirudishieni hela zangu mtakua mmeiba nyie, mimi nimewapa pesa zangu mnihifadhie zinaibiwa mikononi mwenu halafu mnaanza kuniuliza mimi, nyie ndio wezi wakubwa, hata kama ni sh.200 ni zangu, nirudishieni....kama vp fungeni benki yenu ,majambazi nyie,
 
TWIGABANCORP nirudishieni pesa zangu, NATAKA PESA ZANGU, NATAKA PESA ZANGU, ACHENI SANAA,
 
...Bank zetu nyingi si salama!
inabidi kuwa makini sana unapochagua Bank ya kutunza pesa yako.
 
Back
Top Bottom