corasco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2016
- 3,663
- 3,397
Ha ha haMwanamke anaekupiga mizinga kila kukicha sio wa kuanza nae maisha...Huyo hana mpango na wewe anakutumia kufanikisha ishu zake asepe,Tuwe makini nao sana hawa wa hivi,mbaya zaidi wanawake wa hivi wanakuwa visu balaa mpaka tunashindwa kuchomoka!