Tahadhari wanaume wenzangu!

Tahadhari wanaume wenzangu!

Mwanamke anaekupiga mizinga kila kukicha sio wa kuanza nae maisha...Huyo hana mpango na wewe anakutumia kufanikisha ishu zake asepe,Tuwe makini nao sana hawa wa hivi,mbaya zaidi wanawake wa hivi wanakuwa visu balaa mpaka tunashindwa kuchomoka!
Ha ha ha
 
Sasa unataka akamuombe nan hela jamani eeh! We mbna ukimuomba kila cku anakupa akikataa utasema oh umepata bwana acha na yeye akupge mizinga
 
Acha kufunza Wenzio uchoyo/ ubahili
 
Usawa huuu ukampe mimba dem,kama huyo ww c umejichimbia kabur lako
Bdo tu kuzkwa
 
Wanaume tunatoa nying kwa wanawake kuliko wanaume wenzetu wenye shida so ukishindwa kutoa usitoe maana sio lazima kutoa,,,sio sheria wala sio vibaya kutotoa,swali kwan baba yako na mama yako hawakuon kwamba unasimu? Wakupe hela ya vocha,na matumiz madogo madogo na makubwa vile vile,,kama sijakuoa na upo kwenu utanisamehe sitoi chochote kwa upande wng
 
Sasa unataka akamuombe nan hela jamani eeh! We mbna ukimuomba kila cku anakupa akikataa utasema oh umepata bwana acha na yeye akupge mizinga
Kwan mnauuza maana raha wote tunapata....au ndio malipo ya huduma
 
Back
Top Bottom