Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 4,722
- 14,248
Jana nilikuwa salooon mpya (Sijaizoea) maeneo ya Sinza.... Kuna dogo kaja, analalamika nadhani ni mgeni.. kaomba kunyoa ndevu na Kichwa, ila ndevu watumie magic...... kumbe wamempiga stima ya kidevu, massage ya mgongo, scrub ya kichwa... bili anaambiwa alipe 80 alfu.... khaaaa
Wakati naendelea kupiga story mbili tatu, huku nanyoa game likatokeza nje.... sasa namuuliza yule kinyozi kwanini mnawafanyia watu vitu bila kuwaambia bei? Anasema ........ooh wala, mteja anatakiwa awe anajua ....ndio bei zake!
Dogo nae kavimba , nikamwambia kuwa mpole ndio biashara za watu hizi...... kalipa 20, nikamkomalia mjomba nitamuongezea 15k dogo asepe...
Dada wa saloon kawaka.. Nikamwambia kama huna risiti na huna kibali cha hiki unayofanya si sawa kuwaka hivyo.. gawaneni na kinyozi mambo yaishe......
Sasa hili lilinikumbusha nikiwa mwanza saloon flani hivi inaitwa Smart... wao wana range za scrub kuanzia 20k na kuendelea..... bado sijui kuna kusuguliwa miguu na kadhalika...
Nika kumbuka na Moshi tena, kuna saloon wanakwambia kunyoa elfu 5, ila dada wa sallon anakwambia kuna dawa ya mba and bla bla.. kama hujui wala hulizi bei anakupaka alafu mwisho wa siku unaambiwa lipa 20 alfu.....
Nadhani hii ni aina mpya ya utapeli kwenye saloon za kiume.... na hapa nasisitiza sana hasa kwa wasiojua hii michezo....... Ujinga/Ushamba wa mambo hauhalalishi kutapeli watu.....
Yes men are weak on ladies hands, ila sio sababu ya kuwanyaganya hela kwa nguvu.. ni kama kujiuza flani hivi kwa kivuli cha biashara.
Yes najua zipo saloon wanafanya blow job nk... ila waangalie na hali za watu wenyewe pia... doh...!