Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,332
- 9,542
Duuh,hii noma sana aiseeHili kosa sijui kama kuna siku nitakuja kulifanya.
Kuna mshikaji alinunua iPAD Apple kwa msela, kwa laki nne akaona amekula kumbe kaliwa,...
Baada ya mwezi mmoja alifuatwa na gari la polisi, akaelezwa kuwa hiyo iPad iliibiwa nyumbani na hapakuwepo na mtu wakati tukio linafanyika, pia paliibiwa vitu vingine vyenye thamani zaidi ya 30m.
Alikaa mahabusu wiki nzima, brother yake alimlilia sana mlalamikaji at the end alitoa 4.5m yakaisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app