TZ bby JF-Expert Member Nov 5, 2016 229 139 Apr 5, 2018 #1 Nipo humu na mwaka sijawahi kuandika chochote zaidi ya leo kutokana na kichwa habari lakin ndo ivo wanaume kuweni makini
Nipo humu na mwaka sijawahi kuandika chochote zaidi ya leo kutokana na kichwa habari lakin ndo ivo wanaume kuweni makini
TZ bby JF-Expert Member Nov 5, 2016 229 139 Apr 5, 2018 Thread starter #4 Nokia83 said: Hela yako kapewa nani? Click to expand... Mwanaume mwingine
TZ bby JF-Expert Member Nov 5, 2016 229 139 Apr 5, 2018 Thread starter #5 Nokia83 said: Hela yako kapewa nani? Click to expand... Mwanaume mwingine
Mlima simba JF-Expert Member Dec 28, 2017 3,710 6,641 Apr 5, 2018 #6 Ahsante kwa tahadhari mkuu, najua sio wanawake wote ila ni baadhi yao .
Chukwu emeka JF-Expert Member Jan 12, 2018 23,429 36,605 Apr 6, 2018 #8 Inategemeana na malengo yenu na dhamira yenu ni nini,kusaidiana ni jambo la kawaida tu
HARUFU Platinum Member Jan 21, 2014 31,552 48,150 Apr 6, 2018 #9 Hapa panafaa kufuatilia Michango ya WADAU
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 119,904 142,884 Apr 6, 2018 #10 Wanawake wanamatumizi makubwa sana... Mengine hata siyo ya lazima... Na kitu wanachopendelea zaidi ni shopping, huko ndiyo pesa yao huishia... Ila mwanamke wa kumpa mwanaume pesa kama wapo ni wachache sana... Cc: mahondaw
Wanawake wanamatumizi makubwa sana... Mengine hata siyo ya lazima... Na kitu wanachopendelea zaidi ni shopping, huko ndiyo pesa yao huishia... Ila mwanamke wa kumpa mwanaume pesa kama wapo ni wachache sana... Cc: mahondaw
mito JF-Expert Member Jun 20, 2011 10,514 10,412 Apr 6, 2018 #14 Karucee said: Bora ungeendelea tu kukaa kimya. Click to expand...
TZ bby JF-Expert Member Nov 5, 2016 229 139 Apr 7, 2018 Thread starter #15 Katavi said: Una ushahidi?? Click to expand... Ndio