Mwanaume kupoteza hela kwa mwanamke ni jambo la kawaida sana

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Ndugu zangu , jioni ya leo ndiyo kama hivi tena..

Tuliambiwa tutakula kwa jasho, tutailima ardhi nayoitatupatia matunda yake, miiba ya makondeni itachipua na mboga mboga za huko zitakua fungu letu,

Zaidi sana wanawake wataumiza nafsi zetu kama walivyo tuumiza kule bustani ya edeni , watatudanganya na kutukorogea sana sisi wanaume ila tuliambiwa shauri yetu tutumie akili.

Kama hutaki kutumia akili jua umeliwa kichwa, wanawake ni viumbe wazuri sana na wanaume kupoteza hela kwao nijambo la kawaida sana japo wao wanaona wanatukomoa ila siyo kihivyo.


Kwa kweli mwanaume kupoteza hela kwa namna yakumpa mpenzi wake nijambo la kawaida sana, haijalishi umemsomesha au laha ila nijambo la kawaida sana japo inauma ila lazima tukubaliane

Mwanaume kumuhonga mwanamke mahela na kunyimwa utelezi ni jambo la kawaida , sasa tufanyaje kama hela zipo.

Mwanaume kutuma nauli na kuishia kuona manyoya ni jambo tuu la kawaida, haijalishi umechinja hata lile jogoo lako linalokuamsha asubuhi uwahi kazini kwaajili ya mrembo wako aje aenjoy ila hajatokea usife moyo.

Duniani mapito wanaume tumeumbwa mateso kuzaa na mwanamke na akakuachia watoto ilihali yeye amekula pesa zako na kukuacha masikini na watoto juu ni jambo la kawaida zaidi.

Haijalishi umetoka kumnunulia mwanamke chyupyi na bado ikavuliwa na kijana wa hovyo ni jambo la kawaida sasa tufanyaje, tuwaue wanawake au.

Mwanaume kumjengea mwanamke nyumba, kumfungulia biashara na kumpa tulizo la moyo wake kwa kuwekeza hela nyingi sana ni jambo la kawaida tuu.. usiumie kihivyo ndiyo maisha sasa tufanyeje....


Kwa kweli mwanaume kununua dada poa na kufika nae room nakuambiwa kojoa chapu ilihali hata hajachomeka na akizubaa muda umeisha na hela mingi imeondoka ni jambo la kawaida tuu..


Haijalishi tunapoteza muda na hela nyingi kwao ,huku wao wakizidi kutuambia tutafute hela ila amini ndiyo maisha ya mwanaume .


Wanawake hawana huruma na sisi hata kidogo hivyo yote ni mambo ya kawaida tuu , haijalishi wanatembea na utamu ila sisi wanaume tuamini sisi ndiyo tunao utamu wao ni maji ya kuoshea tuuu viombo..

Mwanaume kupoteza hela na mwishowe kuitiwa mwizi na mpenzi wake , kupigwa mpaka kufa nijambo la kawaida tusiogope ni mambo yapo .. sasa tufanyaje..

Ndugu zangu ... Naishia hapa kwa leo.
 
Kutoa hela kwa mwanamke ni jambo la moyo wako wapo wanaume hawatoi pesa wapo wanaotoa kwa masimango wengine wakitoa wanajutia sana kwahyo unaweza sema ni kawaida sana ila kila mmoja anajua akitoa anajiskiaje. Kipato pia huchangia kwenye hizo hisia
 
Back
Top Bottom