its their wana fanya what want.....
Nimeipenda sana hii mkuu,inanikumbusha jamaa mmoja anajiita bategereza anavyojua anavojua kutumia poetic license.
kunenepa ni dalili ya kuwa na pesa au utajiri
Kila siku kutusema jamani khaa
Kila siku kutusema jamani khaa
Mwenzangu tusile tukufe labda........
Nimewaona wanaoenda kwene mazoezi ni waneneee kina dada kina baba mitumbo hiyooo.nauliza mlijiendekeza kwanini mpaka kuwa na manyama uzembe?tuwe makini kinga ni bora.hebu angalia kipindi cha mazoezi kwene luninga.

Hapana,kueleweshana tu na hana nia mbaya mleta mada hata kidogo,msimchukie.
Tumbo langu linakuhusu nini?
hata mimi......
.
Kwani kufanya mazoezi ndio kupungua me kila siku nakimbia nafanya mazoezi ya viungo lakini bado nko bonge na watu wanazidi kuniambia nazidi kunenepa.