samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,237
Nimewaona wanaoenda kwene mazoezi ni waneneee kina dada kina baba mitumbo hiyooo.nauliza mlijiendekeza kwanini mpaka kuwa na manyama uzembe?tuwe makini kinga ni bora.hebu angalia kipindi cha mazoezi kwene luninga.
Mi sa hivi natamani kunenepa
Roho inakuuma, nini? Waache matumbo yao, its their wana fanya what want.....
Hiyo lugha mmh hizi shule,ok matumbo yametokeza hadi shape inakuwa kama chatu ndo raha?
Kiukweli wadada wengi siku hizi ni wanene...yani mwili unakuwa kama una mapingili!