So what ....
ziko wapi??
Mimi ni mwana mageuzi lakini nawashangaa sana hawa jamaa (CUF) kwani wameshindwa kabisa kuziacha mbinu zao za kijinga ambazo mara kadhaa zilizowaletea madhara makubwa kama zile za kusomba watu na mafuso toka sehemu zilizo mbali na maeneo ya mikutano kama wanavyofanya siku hizi (CCM) na kuwapiga picha za kupamba vyombo vya habari but when it comes to reality wanaangukia pua kama kule Iginga na katika chaguzi kuu. Ni mbinu za kijinga kabisa.Sasa baada ya uongo huu cuf wanapata faida gani?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hebu linganisheni picha hizi!
24th August 2010 - Umati wa watu uliomsindikiza Pr. Lipumba kuchukua fomu za kugombea Uraisi kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 mjini Dar es Salaam - Picha na Edwin Mjwahuzi wa the Citizen.
30th September 2012, CUF yaifunika Arusha - Mjengwa blog
Ningekuwa mod wa JF, mtu aliyeleta picha hii kuwa ni mkutano wa CUF Arusha ningempa ban yeye na ukoo wake wote!
Wakuu Hapa mkutano ulipo hakuna gorofa hata moja na ni stendi yenye miti hizo picha za mjengwa ni za uongo
Sasa baada ya uongo huu cuf wanapata faida gani?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Mama mayeeeeeee! Wachaga subiri 2015 Ubungo bus Terminal mtapaona mbali, sanduku la Kura za NEC kule Hanang pamoja na Mary Nagu leo wamemtafsiria Sumaye ile kauli ya UV ccm pwani
Sitaki yaamini ninayoyaona, Mjengwa kachemka haki kama ni kweli!!!Hebu linganisheni picha hizi!
24th August 2010 - Umati wa watu uliomsindikiza Pr. Lipumba kuchukua fomu za kugombea Uraisi kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 mjini Dar es Salaam - Picha na Edwin Mjwahuzi wa the Citizen.
30th September 2012, CUF yaifunika Arusha - Mjengwa blog
Ningekuwa mod wa JF, mtu aliyeleta picha hii kuwa ni mkutano wa CUF Arusha ningempa ban yeye na ukoo wake wote!
mkuu mjengwa hajasema hizo picha ni za leo! Kichwa chake kasema "cuf kuifunika arusha leo" na picha hizo zipo toka asubuhi kaweka kama reference ya mikutano ya ngangari sehemu nyingine, nadhani wanachama wa cuf ndio wanatumia hizo picha kupotosha au labda mjengwa ni "mwana" cuf.
mikutano ya cuf
Tena CS 6.Mmmhh, nasikia harufu ya photoshop.