Tahadhari Picha Inatisha ya chid benz

Tahadhari Picha Inatisha ya chid benz

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,619
Reaction score
4,303
10350508_1723008791319572_3941048726419135558_n.jpg
 
Aisee, mpaka nashindwa kulala, nashtuka tu.
 
Huyo ni elien toka sayari nyingine kwenye dunia tofauti siyo ya uneverse yetu.
 
Penye nia hufanikiwa .Akiwahi matibabu atapona.
 
Huyo ni elien toka sayari nyingine kwenye dunia tofauti siyo ya uneverse yetu.

Dah, jamani watu mnajua uchokozi kwa kweli............acha niishie kutazama tu hata sjui kwa nini nili-comment.

Pole Raashid. Ni mapito tu.
 
Chezea chakula cha Nyoka wewe!
 
Ukipanda mahindi usitegemee kuvuna mpunga.Inasikitisha lakini hayo ndiyo matokeo halisi.Tumuombee aweze kupona na kurudi ktk hali yake....Aaamin
 
Kweli atapona? jamani sembe mbaya.MUNGU anusuru vijana wetu.Hhiyo miwani avue tu
 
lengo hasana la mtoa mada ni kuchekesha, kufundisha, kuonya jamii? au kumdhalilisha mtu?. ni kweli amefikia alipo kwa kujitakia lakin bado anahaki ya kuthaminiwa, imagine angekuwa ndugu yako wa karibu!. siyo vizuri
Mkuu lengo la mtoa mada ni kuonyesha raha na karaha ya maisha anayochagua mtu kuishi, binafsi simuonei huruma kwa vile ni maisha aliyoamua kuishi, kwani hakuonywa? hakukatazwa? hadi anakamatwa na polisi bado haachi unamuonea huruma ya nini? Ndivyo alivyoamua kuishi je hakujua madhara yake
 
Back
Top Bottom