Tahadhari nauli ya SGR itakuwa juu

Tahadhari nauli ya SGR itakuwa juu

bahati93

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
1,386
Reaction score
2,588
Habari Comrade,

Nimekuwa nikihisi nauli ya SGR itakuwa kubwa hivyo natoa tahadhari kwa Comrade wenzangu msije pata mshituko siku zitakapotangazwa. Waweza kuwa unajiuliza kwa nini mtu huyu anadhani nauli itakuwa kubwa?, Sababu ni hizi

UCHUMI
kutokana na shilingi kupoteza thamani itakuwa na gharama juu za uendeshaji tofauti na makadirio

MFANO HAI
nadhani kila mmoja anajua jinsi gharama za vibando zinavyokwenda juu. Kama tanzania inasifika kuwa na watumiaji wengi wa internet na bado juhudi zinafanywa kupunguza idadi hiyo hivyo hivyo juhudi zitafanywa ili watu wasipande mabasi ya bei chee na waje SGR ya bei ya juu. Msichukulie personal ni deni lapaswa kulipwa.

SGR PHASE II
Bila shaka hii phase itategemea kiasi kutoka phase i.

Uchumi hauna hauna serikali ya kuuongoza bali hufata sheria zake za asili yapasa kuona huruma kwa taifa litakalo kebehi uchumi.
 
Kwaiyo wanafanya juhudi kupunguza watumiaji wa internet? .... Jamani kweli ata kama elimu yangu sio kubwa.. Siwezi kuongea kitu cha kijinga kama icho
 
Kwaiyo wanafanya juhudi kupunguza watumiaji wa internet? .... Jamani kweli ata kama elimu yangu sio kubwa.. Siwezi kuongea kitu cha kijinga kama icho
🙄
Sasa why gharama za bando zinapanda?
 
dar to moro, 18,000-20,000 sio mbaya ukiweka muda unaouokoa njian ukipanda abood.
 
Back
Top Bottom