Dah jamaa wanaboa sana hv sasa wanabahatisha ktk biashara yao,mfano leo nimenunua umeme kwa tigo pesa wakanambia muamala umekamilika, lakini toka saa tisa hadi sasa hivi saa nne usiku sijapata msg ya vocha, nikapiga namba 100 huduma kwa wateja nikaambiwa kuongea na mhudumu nipige 0713800800 ambapo wanatoza shs 50, nikapiga lkn cha kushangaza simu imeita zaidi ya dakika 10 haikupokelewa ikabidi nikate tu. Sasa hii ni biashara au? Ushauri ni kuwa na laini zaidi ya moja ukiweza.