Tahadhari na tigo kwa mnaoomba kazi...............

Dah jamaa wanaboa sana hv sasa wanabahatisha ktk biashara yao,mfano leo nimenunua umeme kwa tigo pesa wakanambia muamala umekamilika, lakini toka saa tisa hadi sasa hivi saa nne usiku sijapata msg ya vocha, nikapiga namba 100 huduma kwa wateja nikaambiwa kuongea na mhudumu nipige 0713800800 ambapo wanatoza shs 50, nikapiga lkn cha kushangaza simu imeita zaidi ya dakika 10 haikupokelewa ikabidi nikate tu. Sasa hii ni biashara au? Ushauri ni kuwa na laini zaidi ya moja ukiweza.
 
hao nao wanaowaita kwenye interview wako machenical sana..why hawatumi email...au hawana vibwebwezo na tarakishi maofisini mwao
 
vidole vinaongea, jana nimempigia simu mwandani wangu simu haipatikani, nimemtext kumuuliza kwanini amezima simu, amebeep, napiga simu haipatikani. kwakweli nawavumilia tu kwasababu ninatumia zantel kama simu mzizi yangu, ila tigo dah! nimetoka mbali na nyinyi wajameni mjitahidipo nitahama hata kama nilianza nanyi enzi za 0811
 
vipi kama ukiweka namba mbili tigo ikiwemo? most employers anaweza kubother kukupigia ktk altenative no. iwapo mojawapo haipatkani...
 
hao nao wanaowaita kwenye interview wako machenical sana..why hawatumi email...au hawana vibwebwezo na tarakishi maofisini mwao


Bongo bado tunajikongoja ni mashirika machache mainly ya private ndo wanatumia e mail hata posta mzozo usipokuwa na simu imekula Kwako simu as hivi ndo mpango mzima
 
mitandao yote ina matatizo ya network lakini tiGo wamezidi, ukiwa mikoani ndio balaa. Naona bora Voda na Airtel.
 
Hakikisha namba na upige tena,check the number and dial again.haka ka ujumbe huwa kanaudhi sana nikipiga kwa mtu wa tigo
 
Kama unaomba kazi mahali nakushauri usiweke namba yako ya Tigo kwenye barua yako au CV kama namba ya mawasiliano utakosa kazi. Nimeshuhudia live jamaa watano wanasema hawakupigiwa simu kutaarifiwa kuhusu usaili. Lakini ukweli ni kuwa walipigiwa simu, ila wote simu zao zilikuwa zinasema hazipatikani. Wao wanaseme hawajahi kuzima simu, maana wanategemea kuitwa kwa usaili sehemu mbalimbali.

Hivi TCRA wansemaje kuhusu tabia ya Tigo/washirika wao kumtumia mtu meseji 20 kila siku kuhusu promosheni n.k.

Sina hamu nao.Yalinikuta mkuu nilitafutwa wiki nzima kila wakipiga simu wanajibiwa haipatikani na baada ya wiki wakarudi ktk cv wakatumia namba ya airtel ndipo wakanipata wakati ilibalki muda mfupi kuingia ktk interview hapa Dar nami niko Moro muda huo.Nikaikosa kazi Bank moja hivi.
 
mitandao yetu mingi haiko 'reliable'(though tIGO is way too much), ila kwa ushauri tu kama unaweza weka namba zaidi ya moja (najua wengi wanatumia line mbili siku hizi), that will help to diversify the risk.
 
Kama una line 2,ni bora uingie gharama..unaweza kui divert line yako ya tigo kwa mtandao mwingine halafu unafanya traffic filtering ukiona divert call ya code 02...hapo lazima upokee na uingie gharama..kama ni mtandao wa kawaida yaan mobile basi unasikilizia kwanza kama siyo ya interview unamwambia apige tena.gudluck
 
kinachonishangaza mbona tigo hata hawaonyeshi hali ya kuguswa na haya matatizo waliyosababisha wao wenyewe, Hata kutuma message ya sory kwa customers jaman
 
kinachonishangaza mbona tigo hata hawaonyeshi hali ya kuguswa na haya matatizo waliyosababisha wao wenyewe, Hata kutuma message ya sory kwa customers jaman
me nshawaandikia complain zangu kwa wall yao ya facebuk mara kibao hakuna reply,nikaamua kuitupa line yao chooni,hamieni mitandao mengine jamani...
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom