funluverx
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 480
- 342
Huyo Ng'ang'a akikujibu fanya kuni-tag.Je, tunaweza kuu-judge Ukristo kwa tabia na mienendo ya nabii Tito?
Huyo Ng'ang'a akikujibu fanya kuni-tag.Je, tunaweza kuu-judge Ukristo kwa tabia na mienendo ya nabii Tito?
kwanza naomba nikurekebishe...
Hii ya Tanzania inaitwa ANKASUS na sio AL-KASUS kama walivyozoea wengi kuiita... Na ile ya Arabuni Pia haiitwi ALKASUS bali inaitwa ARQASUS..
ANKASUS(tz) na ARQASUS(arab) ni vitu viwili tofauti.. Binafsi sijawahi kunywa ARQASUS lakini naifaham kijuujuu tu kupitia mtandao. Lakini ANKASUS naifaham ..
ANKASUS : in simple language we can call it "SPICED/HERBAL COFFEE". kwahiyo ANKASUS ni kahawa na ndo maana inapandisha presha, japokuwa upandishaji wake wa presha ni tofauti na kahawa nyeusi kwa sababu ANKASUS imechanganywa na viungo vinavyopunguza makali ya kahawa..
Kuna watu wanadhani ANKASUS inatiwa VIAGRA ..!! Noo Nooo NOOOO!
Kama kuna muhalifu anaweka vagra ni yeye kama yeye na akigundulika hatua za kisheria zinatakiwa kufuatwa..
ANKASUS is composed of coffee and some spices like cloves ,cinnamon, ginger, black pepper, black seeds(habbatsoda) etc
Ni kweli kwamba kila kitu kina side effects zake , iwe kitu hicho ni natural au artificial. Inategemea but mara nyingi NATURAL side effects zake si kama ARTIFICIAL unless mtu atafanya excess or too much use..Asee kama hujaoa usinywe mzee mana ni booster kubwa sana kwenye kusex. Kama ulikuwa umezoea kupiga bao 1 au 2 na kulala au uume kusinyaa ukipiga hiyo unaweza kupiga hata 5 bila kupumzika, amini nakwambia. Mpaka nahisi itakuwa na madhara tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Je, tunaweza kuu-judge Ukristo kwa tabia na mienendo ya nabii Tito?
Duh! Kuna jamaa alisema haweki kahawa. Duh! Hii kitu hata haijulikani vizuri. Pia haweki sukari bali anaweka asali.kwanza naomba nikurekebishe...
Hii ya Tanzania inaitwa ANKASUS na sio AL-KASUS kama walivyozoea wengi kuiita... Na ile ya Arabuni Pia haiitwi ALKASUS bali inaitwa ARQASUS..
ANKASUS(tz) na ARQASUS(arab) ni vitu viwili tofauti.. Binafsi sijawahi kunywa ARQASUS lakini naifaham kijuujuu tu kupitia mtandao. Lakini ANKASUS naifaham ..
ANKASUS : in simple language we can call it "SPICED/HERBAL COFFEE". kwahiyo ANKASUS ni kahawa na ndo maana inapandisha presha, japokuwa upandishaji wake wa presha ni tofauti na kahawa nyeusi kwa sababu ANKASUS imechanganywa na viungo vinavyopunguza makali ya kahawa..
Kuna watu wanadhani ANKASUS inatiwa VIAGRA ..!! Noo Nooo NOOOO!
Kama kuna muhalifu anaweka vagra ni yeye kama yeye na akigundulika hatua za kisheria zinatakiwa kufuatwa..
ANKASUS is composed of coffee and some spices like cloves ,cinnamon, ginger, black pepper, black seeds(habbatsoda) etc
Kahawa pamoja na viungo vingine huwa vinachanganywa pamoja na kusagwa kabisa kiwandani (mfano wa kusaga viungo vya pilau). Mtu anayepika kinywaji huwa ananunua Ule unga/masala ambayo yameshachanganywa na kusagwa kabisa so anaweza hata asijue kwa uhakika kilichomo ndani ...Duh! Kuna jamaa alisema haweki kahawa. Duh! Hii kitu hata haijulikani vizuri. Pia haweki sukari bali anaweka asali.
duhh viagra si ndio iliyomuua yule kibabu ambae alitaka kumkomoa kale kasista duuh kule mbezi beach aisee hapana kwanza sijawai hata kufikir kunywa aya mavitu
Mbona zanzibar walikamatwa wauza juice ya miwa walichanganyadrilling, Kuchanganya na unga wa Viagra ni uongo mkuu kwa faida gani wanayo ipata na garama ya kidonge cha Viagra ni shi ngap na wanaweka vidonge vingapi ukipata jibu hilo ndio urudi hapa uthibitishe
Sent using Jamii Forums mobile app