Na nyie mpunguze mabwawa mkuu.Wacha tu wawawekee mana mmezidi kula vyakula vinavyomaliza nguvu zenu huku mkijiaminisha kuwa yapo madawa ambayo ndio suluhisho kwani mlianza na mavumbi ya Kongo sasa mnahamia kwenye alkasusi. lol. Mtakoma.
Wanavyodai.
Hebu nitake radhi Mkuu.Na nyie mpunguze mabwawa mkuu.
dodge
Hebu nitake radhi Mkuu.
Ndio eti. Yaani ni hatari tunakoelekea sijui itakuwaje.
Duuh kweli nguvu za kiume ni fursa panaWacha tu wawawekee mana mmezidi kula vyakula vinavyomaliza nguvu zenu huku mkijiaminisha kuwa yapo madawa ambayo ndio suluhisho kwani mlianza na mavumbi ya Kongo sasa mnahamia kwenye alkasusi. lol. Mtakoma.
Acha tu ndugu yangu yaani kwa sasa kila mmoja anakimbilia kuwa mbunifu wa dawa hata zile zisizofaa kwa afya ili mradi tu huko majumbani mambo yaende sawa.Duuh kweli nguvu za kiume ni fursa pana
Wacha tu wawawekee mana mmezidi kula vyakula vinavyomaliza nguvu zenu huku mkijiaminisha kuwa yapo madawa ambayo ndio suluhisho kwani mlianza na mavumbi ya Kongo sasa mnahamia kwenye alkasusi. lol.
Tulieni dawa iwaingie.
Pole yaoAcha tu ndugu yangu yaani kwa sasa kila mmoja anakimbilia kuwa mbunifu wa dawa hata zile zisizofaa kwa afya ili mradi tu huko majumbani mambo yaende sawa.
Master,, umeandika kwa ukakamavu kweliDuuh kweli nguvu za kiume ni fursa pana
[emoji23][emoji23]Wacha tu wawawekee mana mmezidi kula vyakula vinavyomaliza nguvu zenu huku mkijiaminisha kuwa yapo madawa ambayo ndio suluhisho kwani mlianza na mavumbi ya Kongo sasa mnahamia kwenye alkasusi. lol.
Tulieni dawa iwaingie.
Alkasusu siyo dawa Ya nguvu za kiume mkuu, It acts as a detoxifier,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada hajatoa maelezo ya kinaAlkasusu siyo dawa Ya nguvu za kiume mkuu, It acts as a detoxifier,
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kila kiancho anzishwa kuzalishwa lazima kuhusishwe na nguvu za kiume huoni fursa hapo