Tahadhari na kinywaji cha Al-Kasusu

kwanza naomba nikurekebishe...
Hii ya Tanzania inaitwa ANKASUS na sio AL-KASUS kama walivyozoea wengi kuiita... Na ile ya Arabuni Pia haiitwi ALKASUS bali inaitwa ARQASUS..
ANKASUS(tz) na ARQASUS(arab) ni vitu viwili tofauti.. Binafsi sijawahi kunywa ARQASUS lakini naifaham kijuujuu tu kupitia mtandao. Lakini ANKASUS naifaham ..
ANKASUS : in simple language we can call it "SPICED/HERBAL COFFEE". kwahiyo ANKASUS ni kahawa na ndo maana inapandisha presha, japokuwa upandishaji wake wa presha ni tofauti na kahawa nyeusi kwa sababu ANKASUS imechanganywa na viungo vinavyopunguza makali ya kahawa..
Kuna watu wanadhani ANKASUS inatiwa VIAGRA ..!! Noo Nooo NOOOO!
Kama kuna muhalifu anaweka vagra ni yeye kama yeye na akigundulika hatua za kisheria zinatakiwa kufuatwa..
ANKASUS is composed of coffee and some spices like cloves ,cinnamon, ginger, black pepper, black seeds(habbatsoda) etc

Hiyo ya uarabuni faida yake nini?
Na hii yahapa kwetu faida yake nini?
 
Asee kama hujaoa usinywe mzee mana ni booster kubwa sana kwenye kusex. Kama ulikuwa umezoea kupiga bao 1 au 2 na kulala au uume kusinyaa ukipiga hiyo unaweza kupiga hata 5 bila kupumzika, amini nakwambia. Mpaka nahisi itakuwa na madhara tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kwamba kila kitu kina side effects zake , iwe kitu hicho ni natural au artificial. Inategemea but mara nyingi NATURAL side effects zake si kama ARTIFICIAL unless mtu atafanya excess or too much use..
ANKASUS is pure natural 100% (coffee+spices+herbs)
 
kwanza naomba nikurekebishe...
Hii ya Tanzania inaitwa ANKASUS na sio AL-KASUS kama walivyozoea wengi kuiita... Na ile ya Arabuni Pia haiitwi ALKASUS bali inaitwa ARQASUS..
ANKASUS(tz) na ARQASUS(arab) ni vitu viwili tofauti.. Binafsi sijawahi kunywa ARQASUS lakini naifaham kijuujuu tu kupitia mtandao. Lakini ANKASUS naifaham ..
ANKASUS : in simple language we can call it "SPICED/HERBAL COFFEE". kwahiyo ANKASUS ni kahawa na ndo maana inapandisha presha, japokuwa upandishaji wake wa presha ni tofauti na kahawa nyeusi kwa sababu ANKASUS imechanganywa na viungo vinavyopunguza makali ya kahawa..
Kuna watu wanadhani ANKASUS inatiwa VIAGRA ..!! Noo Nooo NOOOO!
Kama kuna muhalifu anaweka vagra ni yeye kama yeye na akigundulika hatua za kisheria zinatakiwa kufuatwa..
ANKASUS is composed of coffee and some spices like cloves ,cinnamon, ginger, black pepper, black seeds(habbatsoda) etc
Duh! Kuna jamaa alisema haweki kahawa. Duh! Hii kitu hata haijulikani vizuri. Pia haweki sukari bali anaweka asali.
 
Duh! Kuna jamaa alisema haweki kahawa. Duh! Hii kitu hata haijulikani vizuri. Pia haweki sukari bali anaweka asali.
Kahawa pamoja na viungo vingine huwa vinachanganywa pamoja na kusagwa kabisa kiwandani (mfano wa kusaga viungo vya pilau). Mtu anayepika kinywaji huwa ananunua Ule unga/masala ambayo yameshachanganywa na kusagwa kabisa so anaweza hata asijue kwa uhakika kilichomo ndani ...
Kwahiyo inawezekana kwamba Yeye muuzaji hajaweka KAHAWA ya kuongezea lakini tayari kahawa ipo kwenye huo mchanganyiko
 
Hii post haina maana yoyote, umeandika kwa mhemko na chuki tu. Tuambia kitafiti, kwanza useme viungo gani vinatumika kutengeneza hiyo Al kasusu.

2. Utuambie katika mchanganyo huo ni kiungo gani kinaweza leta madhara kwa afya za watumiaji

3. Utuambie kama kila kinacho kudhuru wewe ni lazima kiwadhuru wengine?

4. Ututhibishie kama kweli viagra zinachanganywa kwenye kinywaji hicho.

Vinginevyo huu ujumbe wako umekurupuka, fanya tafiti urudi tena
 
Back
Top Bottom