Tahadhari na hospitali za private..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tahadhari na hospitali za private.....

Discussion in 'JF Doctor' started by The Boss, Mar 19, 2011.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa natibiwa hospitali za private
  zinazosifika hapa nchini na kuaminika....

  nilichogundua juzi kimenishangaza mno.....

  wakati nasuburi kumuona daktari wakaja watu wawili
  wamependeza na wameshika mikoba as if
  ni watu wako na haraka hivi na wamekuja labda kufanya vipimo
  au kuwaona watu wanaowafahamu kwa dharura.....

  baada ya ku chat na mmojawapo ambaye
  ni mdada mrembo hivi....it turn out kumbe ni watu wa promosheni
  za madawa,na hapo hospitali wamekuja fanya promosheni ya madawa yao....

  kwa ufupi wenye makampuni yanayoingiza madawa na pharmacy kubwa kubwa

  wanafnya promosheni ya madawa mahosipitailini..hasa ya private...
  wanachokifanya ni kudeal na madokta tu,mwenye hospitali anaweza hata asijue..

  wanawapa madokta kuanzia diary,t shirts,vikombe mpaka pesa nimeambiwa
  ili dokta awaandikie wagonjwa dawa fulani....ambazo wenye maduka hayo wanazo...

  yaani unaweza andikiwa dawa hata kama hiyo dawa si dawa kweli.
  wataalamu wanaita placebos......unaingia gharama huku hujui unalipia placebos na sio dawa..

  na pia madawa ya kweli ambayo pengine mgonjwa hana ulazima wa kuyatumia....

  tahaadharini jamani.......
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hapo yapaswa mtu ukacheki sehemu tofauti tofauti!Ila hilo la kuandikiwa dawa hata kama sio mgonjwa halijaanza leo...na wala sio kwa private hosp tu!
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,466
  Trophy Points: 280
  bora za serikali mi naona...
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hao ndo maarufu wa kukwambia una malari tano kumbe huna!Tafuta daktari ambae utakua rafiki nae au hata rafiki wa rafiki ndo hawezi kukuliza!Bongo kila kitu kinahitaji ujanja!
   
 5. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  that is what is needed here mamaaa!!
   
 6. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  da!!, sijui tutaponea wapi kila mahali kuna uchakachuaji,,,watu hawathamini kabisa utu na afya ya mtu kilichobora kwa ni pesa tu..umakini unahitajika sana wakati wa matibabu iwe katika hosp za private au govmnts , manake hosp nyingi wanachojali na kupata pesa hata kwa matibabu ambayo siyo kabisa........muhimu wananchi tujitahidi kuzilinda afya zetu ili tusipatwe na maradhi mara kwa mara.....kwa wale wanaotoa matibabu kwa haki mungu azidi kuwabariki.......
   
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  ni kawaida kampuni za dawa kufanya promotion ma hospitalini .. usiogope mkuu
   
 8. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,640
  Likes Received: 1,428
  Trophy Points: 280
  dactari hawezi kukuandikia dawa feki kisa kapewa tshit au pesa na watu wanaotangaza madawa yao, halafu hao watu huwa ni reliable kwani wanawakilisha makampuni ya dawa yanayoaminika
   
 9. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #9
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Hili swala la dawa niliwahi kugombana na dr fulani kisa nimekataa sawa yake aliyoniandikia hizi zipo sana
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kwa asilimia kubwa, mgonjwa hana control, au nguvu ya kukataa dawa anayopewa na daktari, unless awe na idea ya matibabu!

  Lakini napenda kusema kuwa ni jambo la dhambi kubwa kama madaktari waliokula viapo vya uaminifu, uadilifu na usiri watatumika kuwalaghai wagonjwa, kwa ujira wa tshirt, au hata mamilioni ya fedha!
  I personally term it as a Manslaughter!
   
 11. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  wengi ni wakweli lakini wapo wanaopromote dawa feki, kuna hospitali za binafsi zinazuia kuandika dawa kwa majina ya biashara (trade names) na hata bima ya afya pia ukiandika dawa kwa trade name hawalipi, lengo lao ni hilo hilo kuzuia prescription ya dawa zisizo na ubora. Kwa hiyo kama unaenda hospitali mwambie daktrari tafadhali dawa unayonipa niandikie kwa generic name, kama ni paracetamol, akuandikie paracetamol sio sheladol, sijui panadol, huku ni kuwatangazia biashara wauza dawa. Akikuandikia kwa generic name utaondoa utata wa kupewa dawa ya biashara isiyo na ubora. Ukifika dukani muulize muuzaji kama hilo jina ni generic au trade ili uwe na uhakika. So msiache kwende hospitali lakini insist on generic prescription.
   
 12. nnunu

  nnunu JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 656
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ASANTE SANA DR KAPOTOLO ,nimejifunza kuhusu GENERIC NAMES nilikuwa sifahamu hili.....ntakapoenda hosp ntasisitiza kuandikiwa dawa kwa generic prescription,,,,,asante sana.
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Kuweni makini hasa na watoto wadogo chini ya miaka 5.
   
 14. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sio hilo tu kwa private hospital,kuna watu hufanyiwa operation za kutoa watoto(C/S) ili hospitali iingize fedha,kuweni macho na private hospital hasa za mijini.
   
Loading...