Haupo wazi hiyo uliyoongea ni tabia ambayo ni kiujumla kwa baadhi ya wanaume. Ni kama katika hesabu za arthemetic kuna kitu kinaitwa general term ambapo unaweza kupata any term. Wewe umgekuwa wazi jihadharini na mwanaume fulani jamani anaishi mkoa fulani ni hatari kwa tabia ulizozitaja.Ni wengi sana hata hapa JF wapo, Yukoje?
Anapokutaka haridhiki mpaka aanze kukueleza
makosa ya mpenzi wake aliyeachana naye hata
kama hujamuuliza na ukiwa na bahati basi atakueleza
makosa ya mpenzi zaidi ya mmoja ... Muogope, mkimbie haraka
hana lolote ni tapeli hata wewe akikufunua atakukimbia na kuwasimulia
wengine.......
Hao ndio ninaowakusudia!Haupo wazi hiyo uliyoongea ni tabia ambayo ni kiujumla kwa baadhi ya wanaume. Ni kama katika hesabu za arthemetic kuna kitu kinaitwa general term ambapo unaweza kupata any term. Wewe umgekuwa wazi jihadharini na mwanaume fulani jamani anaishi mkoa fulani ni hatari kwa tabia ulizozitaja.
Ni wengi sana hata hapa JF wapo, Yukoje?
Anapokutaka haridhiki mpaka aanze kukueleza
makosa ya mpenzi wake aliyeachana naye hata
kama hujamuuliza na ukiwa na bahati basi atakueleza
makosa ya mpenzi zaidi ya mmoja ... Muogope, mkimbie haraka
hana lolote ni tapeli hata wewe akikufunua atakukimbia na kuwasimulia
wengine.......
Ni wengi sana hata hapa JF wapo, Yukoje?
Anapokutaka haridhiki mpaka aanze kukueleza
makosa ya mpenzi wake aliyeachana naye hata
kama hujamuuliza na ukiwa na bahati basi atakueleza
makosa ya mpenzi zaidi ya mmoja ... Muogope, mkimbie haraka
hana lolote ni tapeli hata wewe akikufunua atakukimbia na kuwasimulia
wengine.......
Pole sana najua imekugusa, sijakusudia wanaume wote ninaowakusudia ni wale wenyeWe mama. kwani wamekufunua wangapi ndo uweze kujumuisha kwa wanaume wote?
In statistics, n (sample) must be greater or equal to 30. ww uko wapi sasa? otherwise hauko sahihi.