Tahadhari.. Mwanaume kama huyu ni hatari!

Mcharuko

JF-Expert Member
Sep 25, 2011
209
171
Ni wengi sana hata hapa JF wapo, Yukoje?
Anapokutaka haridhiki mpaka aanze kukueleza
makosa ya mpenzi wake aliyeachana naye hata
kama hujamuuliza na ukiwa na bahati basi atakueleza
makosa ya mpenzi zaidi ya mmoja ... Muogope, mkimbie haraka
hana lolote ni tapeli hata wewe akikufunua atakukimbia na kuwasimulia
wengine.......
 
Haupo wazi hiyo uliyoongea ni tabia ambayo ni kiujumla kwa baadhi ya wanaume. Ni kama katika hesabu za arthemetic kuna kitu kinaitwa general term ambapo unaweza kupata any term. Wewe umgekuwa wazi jihadharini na mwanaume fulani jamani anaishi mkoa fulani ni hatari kwa tabia ulizozitaja.
 
Hao ndio ninaowakusudia!
 
Ni wengi sana hata hapa JF wapo, Yukoje?
Anapokutaka haridhiki mpaka aanze kukueleza
makosa ya mpenzi wake aliyeachana naye hata
kama hujamuuliza na ukiwa na bahati basi atakueleza
makosa ya mpenzi zaidi ya mmoja ... Muogope, mkimbie haraka
hana lolote ni tapeli hata wewe akikufunua atakukimbia na kuwasimulia
wengine.......

mmmmh!.............kweli weye ni mcharuko
 
Ni wengi sana hata hapa JF wapo, Yukoje?
Anapokutaka haridhiki mpaka aanze kukueleza
makosa ya mpenzi wake aliyeachana naye hata
kama hujamuuliza na ukiwa na bahati basi atakueleza
makosa ya mpenzi zaidi ya mmoja ... Muogope, mkimbie haraka
hana lolote ni tapeli hata wewe akikufunua atakukimbia na kuwasimulia
wengine.......

Mie hii hainihusu kabisaaaaa........................
 
We mama. kwani wamekufunua wangapi ndo uweze kujumuisha kwa wanaume wote?
In statistics, n (sample) must be greater or equal to 30. ww uko wapi sasa? otherwise hauko sahihi.
 
ukiona manyoya jua keshaliwaaaaaaaaaaaaaaa......ukiona kilio JF ujue yashamkuta mwenzetu....songa mbele mwaya hata awaambie ulimwengu mzima juu yako still utampata tu mtu anayekupenda kwa dhati pamoja na mapungufu yako....
 
Mi ukinikubali sitakusimulia ya wapenzi wangu wa zamani ingawa wote sita niliwaacha baada ya kuwakamata live na mabwana wengine! Unasemaje?
 
We mama. kwani wamekufunua wangapi ndo uweze kujumuisha kwa wanaume wote?
In statistics, n (sample) must be greater or equal to 30. ww uko wapi sasa? otherwise hauko sahihi.
Pole sana najua imekugusa, sijakusudia wanaume wote ninaowakusudia ni wale wenye
tabia kama yako. Halafu suala si lazima iwe kwangu hujui kama tunapokutana kwenye
Vikao vyetu tunasimuliana? Tena kwa fahari kabisa kuwa fulani kaachwa kwa sababu hii na hii
hapo ndipo ninapochukua uzoefu!
 
Mi ukinikubali sitakusimulia ya wapenzi wangu wa zamani ingawa wote sita niliwaacha baada ya kuwakamata live na mabwana wengine! Unasemaje?
Ha ha haaa umenikumbusha Primary ile hadithi ya heri mimi sijasema!
 
lakini asilimia kubwa ya mahusiano yanategemea historia yako au mahusiano yako yaliyopita kwa vyovyote na kwa yeyote ukutanae lazima atataka kujua kwa nini ulivunja mahusiano kwa hiyo hapo kazi kwako kudanganya au kumweka wazi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom