TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

Si huwa tunasifu mwanaume mashine..mashine ndo hizo sasa za JF tuseme lingine
 
naye kala hasara mwanamke used ni shida,bikra katoa mwingine mimba mbili kazaa,bado sijajua alizochoropoa ngapu??,wanaume tuachane kuokota mitandaoni wanawake.twendeni sehemu nyingine zenye maadili
 
Nilimpatia Bi Faiza humu humu...kisha tukaachana. Sio kwa ule wivu alio nao....khaaa !!!
 
Manyumbu ya jf yalipokutana yakaunga familia yakizan mapenz yanapatikana mtandaoni
Mapenzi ni poppte. Humu kuna watu na mtaani kwenu kuna watu.
Mbona ww umelizwa? Demu hakutaki na hela kala km M8 na kiwanja? Km ww ulivyoingia chaka mpaka unawaza mshikaji na demu muwateke na yy hivyo hivyo kaingia chaka.
Hitimisho.
Mapenzi yapo kila mahali na inategemea na mtu uliyekutana naye. Kuna watu wamekutana mitandaoni wameoana na wanatoto. Kwahiyo usidharau mkuu
 
Mmmhhh kumuacha sio rahisi lijamaa linagonga mzigo mara 3 kama dozi ya panadol
Ndiomaana umemvumilia wenye vibamia waisome namba tu
 
Mapenzi ni poppte. Humu kuna watu na mtaani kwenu kuna watu.
Mbona ww umelizwa? Demu hakutaki na hela kala km M8 na kiwanja? Km ww ulivyoingia chaka mpaka unawaza mshikaji na demu muwateke na yy hivyo hivyo kaingia chaka.
Hitimisho.
Mapenzi yapo kila mahali na inategemea na mtu uliyekutana naye. Kuna watu wamekutana mitandaoni wameoana na wanatoto. Kwahiyo usidharau mkuu
Kuna watu huwa nawashangaa wanadhani kuwa members wa jf wanatoka sayari nyingine tofauti na dunia. Tuliopo humu ndio hao hao tuliopo mitaani,makanisani,misikitini,makazini,mashuleni/vyuoni.

Mapenzi ni kama maua,popote huchanua haijalishi ni sehemu gani.
Na kama yalivyo maua,mapenzi pia hunyauka muda wowote pasipo kujali wapi yalipochanulia hayo mapenzi.

Yalompata bi dada hayana uhusiano wa moja kwa moja na athari za kukutana kwake na jamaa mtandaoni. Mbona wengi tu wanaishi maisha ya shida/tabu na dhiki kwenye ndoa zao na wenza waliokutana nao huko mitaani, makanisani,makazini n.k
 
Chimwaka isingekua comment yako [HASHTAG]#691[/HASHTAG] nilishaisi kbsa kama mtuhumiwa ni wewe mana si kwa kumuandama bi dada kule, asaiv nimekutoa ila kuna mshkaj mwingne iv nimesahau ID name yake mana ni ndefu sana ila avatar yake inamuonesha lijitai lirefu mpaka ardhini ananipa shaka. Nimepitia uzi huu mwanzo mwisho nimesoma kila yule.
 
Back
Top Bottom